Pitieni hii Wandugu

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Natumain mmeamka vyema ndugu zangu. Pia wale ambao hawajaamka salama tuwaombee.
Mwenzenu yamenikuta. Asubuhi hii nimepata taarifa kuwa mchumba wangu ninaempenda na kumthamin sana anatoka na mwanajeshi pia na jamaa mwingine hapa mtaani.
Habari hizi zimenistua sana na alienambia ni binam yangu.
Niko njia panda sijui nichukue hatua gan. Naombeni mchango wa mawazo yenu ni lipi nifanye kwa sasa.
Asanteni.
 
Ulifuata taratibu za kiuchumba au uchumba title???tuanzie hapo
 
Kaa tulia kwani binamu yako kukuambia ndo nini? wee fanya uchunguzi ujue kweli lisemwalo nikweli sio kila uwambiwalo walibebea rambo ooooh!!
 
kamwite huyo mjeshi na demu wako alafu mpate threesome maana inaelekea anapenda migegedo yenu wote wawili.
 
Kaa tulia kwani binamu yako kukuambia ndo nini? wee fanya uchunguzi ujue kweli lisemwalo nikweli sio kila uwambiwalo walibebea rambo ooooh!!

sawa. sasa sijui uchunguzi naufanya kwa njia gan.
 
fanya utafiti kwanza ujiridhishe pasi na shaka..maana mambo ya kuambiwa bana...
 
mchakato ndo ulitaka kuanza, japokuwa nko nae mda kidogo

Usiamini asilimia 100 mambo ya kuambiwa.....mchunguze huyo binti utapata ukweli,otherwise utayumbishwa hata kama utamuacha huyu leo.
 
habari za kuambiwa ni bomu la kujitoa muhanga...mwambie asante kwa taarifa....then chunguza kivyako........
 
fanya utafiti kwanza ujiridhishe pasi na shaka..maana mambo ya kuambiwa bana...

kweli. lakin sijui utafit niufanyeje maana mjeshi mwenyewe ata simjui
 
3 Mei 2014

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/651930-sina-hamu-naye-tena.html

 
thibitisha kwanza then uchukue maamuzi.. unamuamini vipi binamu yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…