Pitia hapa

am trying hard...

Usisumbuke sana ngoja ukishafika 30's maisha yatakunyoosha hutatamani vicheche na hao wanaokushobokea hutawaona, ukifika stage hiyo utatulia na utakaempata utatulia na kum care sana

NB, wagonge sana kwa sasa coz umri unaruhusu, mda unakuja ambao Utakumbuka hizo opportunity na hutazipata tena. Ni kipindi cha mpito tu
 
Tatizo linalokusumbua ni dharau, kujisikia na kujiona. Punguza hizo utadumu na mwanamke mpaka utashangaa..
 

May be you are right,,,,will take some tips
 
Tatizo linalokusumbua ni dharau, kujisikia na kujiona. Punguza hizo utadumu na mwanamke mpaka utashangaa..

mhhhh!!! sound like you the my true id,,,thank u ta ivo
 

Thank you for the concern,i will pass through the link
 
I dont mean you should try hard but rather harder and if no success easy your self live your life cause leo imepita ili kesho uifanye poa

Pamoja mkuu,,one day ntakuja na siredi mambo yameninyookea,,thnx for the concern
 
Nafikiri tatizo lako ni mtu usiyekubali kushuka. Ukiwa na arguments au ubishi na mtu yeyote unataka siku zote ushinde. Sasa hilo siyo zuri katika mahusiano na siyo ya kimapenzi tu. Jifunze kusikiliza. Nenda google search " Empathic listening". Jaribu ku-practice na baadae utaona mabadiliko. Huenda hili tatizo la kukwaruzana unalo hata kwa wanaume wenzio kama sikosei. Kushuka siku zote haina maana umekuwa mjinga ila ni kitu kinatakiwa ili amani iwepo.
 
Yeah, unegonga ndipo
 
pole. ndo shida ya kuparamia mambo makubwa utotoni. Si muda wa kujilaumu bali wa kujisamehe na kuanza upya. nimewahi kusoma kitabu cha mtu aliyekuwa na tatizo linalofanana na lako. ningejua nitakutana na thread kama hii ningekariri jina la mwandishi lakini kama sikosei kinaitwa "things i never told you". kimechapwa kenya na mwandishi ni mkenya.

Lakini kwa ujumla unachokutana nacho ni madhara ya uteja "addiction" na kuacha si rahisi ila inawezekana. Kila unapofikiri tabia imekoma unagundua bado ipo. Ndivyo ubongo ulivyo, ukishauzoesha kitu ni kazi kuubadilisha lakini usipokata tamaa njiani tatizo lako linaweza kabisa kuwa historia. Soma soma kwenye mitandao au uanze tiba ya kiroho ambayo kwa mazingira ya kwetu ni rahisi kuliko ya wanasihi wanasaikolojia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…