Pitia hapa kwa habari ya michongo ya kazi ,

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
129
Shalom ndg zangu,
Naitwa ween naishi dar es salaam, nimehtimu mafunzo ya uandishi wa habari (journalisn) ngazi ya diploma.
Nina tafta kazi , mwenye nafasi aniatie kwani nauhitaji wa pesa sana ninauguza hivyo kazi itakayopatkana nitafanya hta iwe nje ya taaluma yangu , mfana duka, kupka , usafi, nk
Nimwepesi sana kuelewa katika utendaji wa jambo lolote endapo nilikuwa silijui nikafanyiwa trainning.
*******am serious ikipatkana naomba nifahamishwe hapa au pm*********
ASANTENI
 
Back
Top Bottom