Ninyi wa zamani mmeendele nini? kazi kutubebesha majukumu yenu tu homeMkuu hiki kizazi cha dot.com hawawezi kukuelewa
kila msomi au kijana akiikimbilia siasa nchi itajengwa na nani??(serious)Hivi kila mtu akilima nani atamuuzia mwenzie?(joking)
Sikumaanisha wajiingize kwenye siasa ila waangalie fursa zingine.kila msomi au kijana akiikimbilia siasa nchi itajengwa na nani??(serious)
nimekupata sana mkuuSikumaanisha wajiingize kwenye siasa ila waangalie fursa zingine.
Tatizo watu wamekomalia kilimo kama fursa pekee kila mtu kilimo kilimo sasa mnataka watanzania karibia wawe wakulima?
Kweli mkuuMkuu wachache wa aina hiyo watakuelewa
Swali nzuri sanawewe una nini mpaka sasa au unampa sifa tu mwenzio,
ulichosema ni kweli lakini Vijana kutoka nje ya box ndo mpango.
Hii nchi yangu bhana,hivi hawa vijana wamekosea nini?
Maana kila wakiuliza kuhusu ajira wanaambiwa wajiajiri tena kwenye kilimo cha jembe la mkono!!
Wamesoma mpaka vyuoni ili waajiriwe,wangetaka kujiajiri si mngewaambia wakomee kidato cha 4 tu.
Wapeni ajira bhana
Heshima tele Mkuu, Joseverest .kila msomi au kijana akiikimbilia siasa nchi itajengwa na nani??(serious)