Pitia hapa itakusaidia kijana mwenzangu

Pitia hapa itakusaidia kijana mwenzangu

Siyo mbaya sana!

But usimfanye sex machine kama alivyosema..Kikulacho!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aah wapi...!!!

kwa afya tu kiroho sayona(safi)yaani!!!!
 
Huna lolote wewe...

Kwa babu umejiegesha tu kusubiri urithi.

Au mali mlichuma wote?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....akaaah!
babu anadekeza balaaa...vijana hamtaweza katu!!

babu kijana mwenyewe....!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....akaaah!
babu anadekeza balaaa...vijana hamtaweza katu!!

babu kijana mwenyewe....!!
Nimenyanyua mikono na huyo babu yako...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Utafikiri hauna moyo au siku hizi mmeanza kutumia mind badala ya moyo?

Kaa na roho yako mbaya hiyo ya kunibania[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijakubania wala nini..
babu kakuwahi kidogo tu yani!!

we ulikua unaleta stories za muomba jamvi!

ndo ulipochelewa hapo!!
Ila usijali wala nini....!!

mi nakuambia muombe ruhusa babu!!hutaki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijakubania wala nini..
babu kakuwahi kidogo tu yani!!

we ulikua unaleta stories za muomba jamvi!

ndo ulipochelewa hapo!!
Ila usijali wala nini....!!

mi nakuambia muombe ruhusa babu!!hutaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kidogo umeanza kunifurahisha sasa.

Hayo ndiyo maneno sasa.

Babu hana shida.

Ndiyo maana yupo kimy..

Silence means.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kidogo umeanza kunifurahisha sasa.

Hayo ndiyo maneno sasa.

Babu hana shida.

Ndiyo maana yupo kimy..

Silence means.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andika barua ya maombi yenye anauani nane...!
 
Back
Top Bottom