Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Kuiga ndo siko sasa....itaumia kingine vijana waache uvivu kutwa vijweni then unataka goodHakika!
Tatizo vijana wengi huwa tunaiga maisha fulani ili tu tuonekane born town wenye swaga Kali....mwisho wa siku unaishia unakuja kushituka mliokuwa nao sawa washakupiata mbali sana.Hapo sasa ndipo vurugu zinaanzia.
Babu hana tatizo mbona kakubali bila kusita.
Wewe tu ndiyo unaleta ugumu kukubali.
life!!
Kuna watu wanapenda shortcut balaa...!
Ngoja nimuite babu nimuulize hapa!