Pitia hapa itakusaidia kijana mwenzangu

Pitia hapa itakusaidia kijana mwenzangu

Namaanisha bandiko lako ni zuri kwa gentleman.pia ni vigumu kwa waliozoea tabia za kuchovya chovya kuacha japo wanaimani wakiingia katika ndoa wataacha.
Wachache ufahamu wao huwa unafunguka baada ya kuoa. But wengi wetu akiingia kwenye ndoa, mahaba si bado motomoto, anatulia kidogo. Akishaanza kuizoea ndoa huyo anarudi kwenye lifestyle yake ya zamani, ndo wale kujua kuwa ameoa ni hadi uone kavaa Pete au aseme, maana hata bachelor haishi hivyo. Ukiona mtu ana udhaifu/ tabia fulani ambayo huipendi, amua mawili kumbebea udhaifu huo au kumuacha. Kujipa moyo atabadilika ndoani simply because atakuwa ameoa ni kujitafutia majuto tu.

Afu sielewagi uhusiano wa ujana na kutojitambua (kufanya upuuzi). Ukiwa kijana ndo ufahamu wako unafungwa au?. Maana unakuta mtu ooh "hakikisha kwenye ujana unafanya upuuzi wote" eishhh. Fainali uzeeni
 
You struck a chord...Heaven sent.

Hii tabia ya kusema kuwa Fanya yote ujanani ni ulimbukeni tu hakuna chochote.

Pia hakuna faida wala sababu yoyote ya kuwa na tabia za ajabu ajabu kisa eti ujana.

Tubadilike vijana wenzangu!
Wachache ufahamu wao huwa unafunguka baada ya kuoa. But wengi wetu akiingia kwenye ndoa, mahaba si bado motomoto, anatulia kidogo. Akishaanza kuizoea ndoa huyo anarudi kwenye lifestyle yake ya zamani, ndo wale kujua kuwa ameoa ni hadi uone kavaa Pete au aseme, maana hata bachelor haishi hivyo. Ukiona mtu ana udhaifu/ tabia fulani ambayo huipendi, amua mawili kumbebea udhaifu huo au kumuacha. Kujipa moyo atabadilika ndoani simply because atakuwa ameoa ni kujitafutia majuto tu.

Afu sielewagi uhusiano wa ujana na kutojitambua (kufanya upuuzi). Ukiwa kijana ndo ufahamu wako unafungwa au?. Maana unakuta mtu ooh "hakikisha kwenye ujana unafanya upuuzi wote" eishhh. Fainali uzeeni
 
life originated from somewhere else but ze earth has abled to support it
 
Umenena vema mkuu ila pale uliposema kabila fulani hawajui mapenzi sasa sijui unatumia nadharia ama utafiti gani katika kusema hivo?

Unapotoa ujumbe wa kuelimisha jitahidi usiwabague watu wa jamii fulani vinginevyo inaweza ikabadilisha kabisa dhamira ya ujumbe wako na kuonekana umelenga kuwakashifu hao watu kwa mgongo wa kuelimisha!

Ahsante kwa ujumbe wako nadhani kila mwenye akili zinazofanya kazi sawa sawia atajiangalia nyendo zake!
 
Point noted Mkuu!
 
Umesema vema mkuu vjna weng sasa wnkosa stamina na hii intokkna na msing aliojengewa toka akiwa anakuaa utotoni hd anafkia umri wa kujtegmea bdo hjajtmbua vzr kwa maana yy ni nan anatkiwa kufnya nn ktk mazingira yap na kwa7bu zp pmja ukmjmlisha na mfumo mzma wa malezi uliomkuza ndio maana ustaarabu umekuwa ki2 kigumu kwa vjna wengg kwa sababu misingi wlyokulia ndio imewalemaza hvyo ni vzr sasa kwa ss vjna tuamke kifkra na tubadlshe mienendo ya aina ya maisha tunayoish jamii inatugemea lkn tuko kwenye giza nene sana tubdlke na tuwaangzie wengne
 
Hakika mkuu!

Tukiamua kila kitu kitaenda vizuri tu Mkuu.

Ukiwa una-hustle ile yenyewe na ukawa na nidhamu ya kutumia pesa hakika ndani ya miaka mitano utakuwa mbali sana.

Tatizo vijana wengi hela zinaisha kwa kuweka heshima bar na kuhonga wanawake Mkuu.

Yatubidi tufanye mambo kwa akili tulizojaaliwa na sio mihemko ya muda mfupi mwisho wa siku inapelekea kutumbukia katika hatari Mkuu.
 
Kweli umenena.
Kushauriana, kukumbushana ni lazima mkuu si unajua tena vijana wakati mwingine tunajisahau sana na kuiga maisha Fulani ambayo kiukweli hatuyawezi mwisho wa siku unashindwa kutoboa.
 
Kutoboa mkuu kwa ss vjna lzma tuamke na tujtafakar sehem gn tunakosea ktk maisha hyo itatupa way forward nzur hsa kwenye kujsimamia na kujiongoza kuish vzr kutokana na muda na aina ya mazingira ynyotunguka leo unaweza ukaluta kijana anaishi maisha ya miaka 10 iliyopta lkn wla hstuki na yuko comfortable xbsa ndio maana kufnkiwa kwa vjna weng ss wa kitanzania ni kaz kubwa sna tuko nyuma sna na wktk na mambo meng lkn htushtuki ni muhimu tukaamua kubdlka na kubadlsha wengne
 
Tena sana Mkuu!

Maana usipokuwa makini wakati huu ulifika uzeeni dunia utaiona chungu.

Embu tujaribu kupambana kuleta heshima nyumbani sasa Mkuu na siyo kuhangaika kutafuta style mpya sijui za mapenzi wakati huo muda ungeutumia kutafuta namna ya kuingiza pesa.
Kula maisha kijana uzeeni utasimulia nini....?!![emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahah!

Bora maisha yanikutie mbele kwa mbele nitayala tu nikifika ninapo pataka mamii.

Nipo likizo na mishe zingine isipokuwa kupambana na changamoto za kuondoa umasikini!

Miss u bibie!
 
yakikukuta uzeeni,utaitwa Mtu mzima hovyoo....

bora ule ule ujana mapema uzeeni unasimulia tu!

Halafu usinimiss babu atakukula bila sabuni!
 
Mhhhhh

Ukila uzee na wazee wenzanko huezi onekana mtu mzima hovyo!

Halafu hilo la kuonekana mtu mzima hovyo inategemea haya mambo unayafanyia viwanaja na uko sehemu gani!
 
Sasa si utataka ule Ujana!!

Ukifkria uliruka stage ndo hapo sasa!!utapoitwa mtu mzima hovyo!
By the way ujana uliwe Ila watu wasijisahau sanaaaa!!
 
Ujana kuliwa lazima lakini kuna changamoto kubwa sana wakati mwingine unakuta hana vyombo vya kumuwezesha kula ujana anabaki kuingia katika ujambazi ilmradi upate mtonyo wa kuhonga au kumpa manzi wako.

Siku mbili tatu unaishia kwenye mikono ya Dola au kuuliwa...

Ujana changamoto sana ndiyo maana nimekuchagua wewe tuule pole pole bibie.

Hope tutafika mbali sana we subiri uone na usiwe na haraka kwanza ndiyo movie inaanza.
 
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !

Basi wale ujana kwa tahadhari,ni ujinga kumuiga tembo hilo ndo linatucost vijana wengi sana na kujikuta tukiingia kwenye matatizo!

Kuhusu mie kula maisha mi nakuambia ongea na babu kwanza!
 
Hakika!

Tatizo vijana wengi huwa tunaiga maisha fulani ili tu tuonekane born town wenye swaga Kali....mwisho wa siku unaishia unakuja kushituka mliokuwa nao sawa washakupiata mbali sana.Hapo sasa ndipo vurugu zinaanzia.

Babu hana tatizo mbona kakubali bila kusita.

Wewe tu ndiyo unaleta ugumu kukubali.
 
Back
Top Bottom