Hongera mkuu...ila sisi wengine vijiji vyetu ni balaa. Utafuga hao kuku sawa ila kuwauza sasa gharama ya kufika barabarani utajikuta faida yote kwisha na robo ya mtaji imefyekwa

huo ni mfano mkuu kila mtu inabd aangalie njia yake ya kufanikiwa si lazima wote mfuge kuku mambo yako meng la msing nikufuta mawazo ya kuajiriwa kwanza
Tz ni nchi unaishi popote, mfate huyu jamaa mfanye featuring
hongera sana. nawashauri vijana wanaoenda chuo wakasome degree za kilimo/ufugaji. soko la ajira limekuwa gumu sana.
Ajira hamna,tukio lililofanyika taifa limenisikitisha sana. Mimi ni mmoja kati ya vijana ambao hawana ajira, nimeshaomba mpaka ajira ya kuuza biashara za mtu nikakosa. Nilichoamua ni kurudi kijijin ambako ndio kwetu,mfukoni nilikuwa na tsh.130,000, of coz nilishindana na vingi,aibu + kujisikia vibaya lakin nikakaza moyo.. nilipofika kijijin nikaomba eneo nikapata bure,nikajenga banda la kuku,nikanunua kuku 20 tetea 17 jogoo 3,nikapata chanjo ya magonjwa ya kuku nikawapa, nikawaacha chini ya uangalizi wa anko wangu kule.. kuku wakaanza kutaga na nikapata vifaranga kama 169 hivi, bado ajira sikufanikisha nikarudi kijijn kuwahudumia kuku wangu hatimaye kuku wakawa wakubwa, kwa mara moja nikauza kuku 100 nikapata kama tsh.1.3 milion hivi, na mtaji wa kuku kama 70 hv baada ya wengine kufa.. Mpaka sasa kuku wanataga tena na nategemea kupata vifaranga zaid ya 200,. nimefungua duka la nafaka, na nataka nifungue salun ya kiume huku kuku wanaendelea.. JARIBU NAWEWE, 'fikra za kuajiriwa tufute,tutapata presha bure'

Hii imekaa poa sana kijana. mm nina mpango wa kununua heka 10 za shamba huko handeni kwa sh laki 5, nijenge nyumba ya sh laki 4 na banda la laki 2 ninunue kuku 50 kwa sh laki 2.5 nichukue ndg zangu wawili niwaajiri wafuge na kulima kwa gharama zangu then nawalipa kamishen nzuri 40% kwa kila watakachozalisha after 2 years watanunua mashamba yao then wajitegemee. wakishajitegemea nawatumia kunitaftia watu wengine kuendeleza biashara yangu. Hii ni njia nzuri ya kujiendeleza na kuachana na ajira za kunyanyaswa. Hapa natenga sh 1.5m kwa ajili ya hii business na napanga by the end of this year niwe nimeshaanza utekelezaji