pita hapa kwanza

pita hapa kwanza

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
258
Wakuu niwaombe tu mtu anapoweka thread yake ya kuuza kitu kama si mnunuzi au huna unachokifahamu juu ya bidhaa husika we pita tu kimyakimya.

Nasema hili imekuwa toomuch sasa, mtu unaweka bidhaa yako unauza na umeweka bei yako tena unaongeza kwa kusema maelewano yapo,mtu anakurupuka huko utadhani kafumaniwa anaanza kusema ooh hiyo bei kubwa sana huwezi kupata, mtu mwenyewe awe mnunuzi basi, kelele nyingi na hela mfukon hana.

Hii ni tabia ya kiherehere cha kudandia mambo ya watu, ukpita kimya kimya utapungukiwa na nn au hatutakuona kama leo umepita humu..

Viherehere viishe sisi wote ni watu wazima, kama unataka kufanya biashara na muhusika mPM au mpigie simu mambo ya kudandiadandia yasiyokuhusu sio fresh.
 
pole sana. ujumbe umewafikia ila mim nshanunua gari kupitia humuhumu wapo ambao wapo serious wengine ndo ivyo..samehe bure..
 
Ni kweli wapo wateja seriuos kabisa, lakin wale wasio na hela ndio wanaviherehere balaa, na mm sijawah kukutwa na dhahama hii siku ndio nimeweka post yangu mtu aidandie na sio mnunuzi mbona nitapigwa bun..
Sina moyo wa kuvulimia upuuz.
 
ni kweli kuna wengine utakuta hawana hela ya kununua ila wataropoka ili mradi waongee tu na kuwaharibia watu biashara inabidi admini wawe wanaangalia wakikuta comment inayotaka kumuharibia mtu biashara waifute
 
Hata kama kuna utapeli inabidi tuongee.
 
Ebwana nashukulu nimemwambia m2 jana Acha roho mbaya mtu ata picha aja on a anacoment big sana
 
Inataka moyo sana humu, nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nauza mashamba humu jamaa mmoja si kiherehere hicho anasema mimi tapeli hana hata ushahidi mpaka leo namwangalia tu na shamba mpaka leo lipo. Mi nadhani jukwaa hili halina mods kabisa
 
Tatizo watu roho mbaya zinawasumbua, na hii tabia lazima tuikomeshe humu ndani iishe kabisa..
 
Wakuu niwaombe tu mtu anapoweka thread yake ya kuuza kitu kama si mnunuzi au huna unachokifahamu juu ya bidhaa husika we pita tu kimyakimya.

Nasema hili imekuwa toomuch sasa, mtu unaweka bidhaa yako unauza na umeweka bei yako tena unaongeza kwa kusema maelewano yapo,mtu anakurupuka huko utadhani kafumaniwa anaanza kusema ooh hiyo bei kubwa sana huwezi kupata, mtu mwenyewe awe mnunuzi basi, kelele nyingi na hela mfukon hana.

Hii ni tabia ya kiherehere cha kudandia mambo ya watu, ukpita kimya kimya utapungukiwa na nn au hatutakuona kama leo umepita humu..

Viherehere viishe sisi wote ni watu wazima, kama unataka kufanya biashara na muhusika mPM au mpigie simu mambo ya kudandiadandia yasiyokuhusu sio fresh.

mi napita tuu jamani......
 
Attachments

  • On ma way.jpg
    On ma way.jpg
    63 KB · Views: 52
Back
Top Bottom