beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Jamvin muhali gani? Mi mzima ila jaman sina usingizi kabisaaa yan leo mchana melala kweli sa sielew sahii nafanyaje na ivi hapa hakuna single boy loooh ntakoma mbona.. Basi atawenye wake mkuje na wake zenu mnipe kampani. Maana upopo mwenyewe siwez bila ninyi.
Pita basii hapa unisabahiii.
Pita basii hapa unisabahiii.