Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,414
Ni kitu gani cha tofauti unapata kutoka kwao zaidi ya kutoa mkojo mzito?Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
.Baadae utakuja kulia tena kama unavyolia huyo wa mwanzo alichokufanyie
Visenti ni kujionyesha dem mkazie haswa akikuimba pesa mpe buku dasi, Unampeleka lodge ya buku tano unamchapa ukimaliza unamwambia kuna sehem unawai.Unajua girl anapanda hadhi kutokana na unavyomtreat....Jamaa hapo umemshauri vizuri lakini alipata girl mfano wa 50 per mwezi....baada ya mda girl akiona jamaa anavisent ataanza badilika jamaa apandishe Hadi 200k au 100k.
[emoji847]Watu wapo serious kuchanganya virainishi, sema wanawake wa humu ni vitasaaa sana wachache sana wana akili ila wengi wao mafurushi [emoji1787][emoji1787] ambayo ni advantage kwa wazee wa kula kisela...
Inamaana umeamua kufanya maamuzi ya kibabe ingawa bado unampenda.sijui niweke screenshot hapa, sahizi asubuhi hii baada ya kunishauri nimemcheck the answer is awful....
Nime end relationship, but naumia i learned to love her, miaka miwili na nusu mingi sana.... But I end up today...
Ila uzuri nimejifunza kitu kikubwa sana,....nimejifunza women have worth wanawake wanathamani, all of them niliwasumbua lakini yeye amenisumbua..
Nimejifunza vingi sana upendo, kujali, msimamo, kukaa na girl room siku nyingine bila sex..... I learn t and all thanks to her. Sema njia yake itamcost nitakuja quote hii convo yetu sikumoja.
Well done, but the scenes evidence are very clear that too much is harmful, means that even if you have decided to display a true love to your closely relative wife or girl, make sure it is within the moderate scale rate for yourself suitable health benefits.hahaha fact, although i love her but I always make harsh decision cause I am always in my full and right mind...
For example I ended the relationship with her previously and I was owky with that.....until she came back her self....
Sometimes we show love only because we don't want to jump from person to person that's too risk
Ngoja kwanza wewe ndio huyo kwenye avatar?[emoji4]Uhuni utawaua
sijui mkuu....maana other side mimi ndo sipo tayari yeye ajue kuhusu bestie.... mahusiano shida sana.Inamaana umeamua kufanya maamuzi ya kibabe ingawa bado unampenda.
Kikubwa tafuta amani ya rohoni maana hujaumbwa kuja kuteseka hapa duniani.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
sure mkuu....she knew how to play me hahahaha lazima nikasirike na kuumia....Well done, but the scenes evidence are very clear that too much is harmful, means that even if you have decided to display a true love to your closely relative wife or girl, make sure it is within the moderate scale rate for yourself suitable health benefits.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
100% Sure!Ngono huleta umasikini✔️✔️✔️🫡
Unapata wapi ujasiri wa kudate na Ke kwa rika hilo Ndugu?Mainchick hata staha tu ya maneno anakosa...
Nilijitahidi sana kumbadilisha mkuu... Mimi sio muongeaji so ukiona hadi nasema I sat her down kumuelekeza ujue I did my best ....
I don't think I deserve this bestie but she is a God sent mkuu....she knows things, knowledge wise she is so good....upendo huja tu
Things are tough both ways, but God is good, if it does not work I will go ...I have tried for about 7 months to fix things (7 months) na mtu unaona ndo kwanza anaona huna akili...
Mainchick sio mkubwa kihivo yupo 21 23 so unamuona hajamaliza stage flan japo yeye amezidi.
[emoji1666]Visenti ni kujionyesha dem mkazie haswa akikuimba pesa mpe buku dasi, Unampeleka lodge ya buku tano unamchapa ukimaliza unamwambia kuna sehem unawai.
Akikuacha unatafuta mwingine.
Aunt sijakuelewa😀Watu wapo serious kuchanganya virainishi, sema wanawake wa humu ni vitasaaa sana wachache sana wana akili ila wengi wao mafurushi 🤣🤣 ambayo ni advantage kwa wazee wa kula kisela...
😅😅😅 aunt wataka kuelewa nini jamaniAunt sijakuelewa😀
Mimi sio shabiki mandazi. Uliwahi kuona shabiki timamu anahama Simba au Yanga?Hata Makolokolo pia wanakufilisi akili, stuka uje Utopolo uneemeke afya kiakili [emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wahuni sio watuWachawi kinoma, walimtubulia.. wale walikuwa wanapendana .. ila waja wanga, wakaone wajirahisishe awapasue ili wavuruge penzi.. yule mwanamke jamaa alikuwa kapata bahati ila next kaokota vitu vya ajabu ajabu 😅😅😅
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ati niniiUnasemaje mdogo wangu?
Kweli mwanamke akipenda ni kitu ingineHuwa wanatoa siri zote, mafriji yao huwa hayagandishi hasa ukishamkoleza hana ujanja lazima afunguke yote