Na una mpango huo au unamchota dada wa watu?Hauko pekeako mkuuπ π π
jana nimetumia mda wangu mwingi sana kutongoza pisi kali kutoka Mashati Rombo na ikaelewa show
nimeongea nayo mda mwingi sana na ikakubali kuolewaπππ
View attachment 2530394
aiseevibinti vya humu vichawi baada ya kuona mwenzao anapendwa vikaanza kujirahisisha ili kuingilia mawimbi ya watu na jamaa kawagonga kweli na njaaa njaa zao
ohoo, ana viatu vya manyoya , vaa ndom ya bati, utanishukuruSio kumchota tu itabidi asafiri kutoka Rombo mpaka Mwanza kufuata Mkuyenge at her own cost...
Hii pis ni kali lazima niipelekee motoππ
View attachment 2530421
π€£π€£π€£π€£ohoo, ana viatu vya manyoya , vaa ndom ya bati, utanishukuru
πππ kama yupo humu af akajiona? UtampeperushaSio kumchota tu itabidi asafiri kutoka Rombo mpaka Mwanza kufuata Mkuyenge at her own cost...
Hii pis ni kali lazima niipelekee motoππ
View attachment 2530421
Tafuta wa bei ndogo.Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara mojaπ utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyetoπ¬.
I dont care at allπ π ππππ kama yupo humu af akajiona? Utampeperusha
Hata Makolokolo pia wanakufilisi akili, stuka uje Utopolo uneemeke afya kiakili [emoji16]Na leo Bamako tunashinda. Naandika kwa experience kaka. Mwaka jana nimekula nyapu za kila aina. Ninatoa pisi Mwanza inakuja Dom hapo laki 3 imekata. Hapa naandika kuna text imeingia naambiwa "mambo hubby" kinachofata ni mzinga.
K zinafilisi, naacha k
haya bana, ila tu usitume nauli
Hii pisi naijua nishaifumua sana pale kaloleni ππ
π π π we pendana na mtu humu, uone waja watavyo pambania ku jam signal..aisee
Ke wote wako vizuri mno kuigiza tabia kabla hujajitwalia jiko mazima, muowe sasa ndipo utajua hujui, tafakari usijeingia kwenye mdomo wa mamba kwa mtego wa tabia za maigizo.hahahaha nataka nifanye permanent maana hii bestie ni material haswa....yani hata vizinga hadi nijiongeleshe.... Pia anajua maisha sana
Au kuiteteya ukraineKama huna hela achana na mademu, jikite kwenye kusaka hela.
Let me see her from your point of viewHii pisi naijua nishaifumua sana pale kaloleni ππ
"Pale ambapo penzi liko katika hatua za awali" tuliosomea unajimu tumeshakuelewa[emoji1]hahahaha mzee wangu napiga bestie lakini nipo na mainchick bado shida ni nikipiga move tu kwa main bestie anakuja nisimulia kilakitu ... So nimepunguza movement Kwa mainchick
Mainchick alichokosea ni kunipaisha sana, sasa bestie anataka vyote apewe yeye...maana nilikuwa namcare balaa yan hadi ped ntamnunulia plus bites hahahaha
Hao ndiyo wanawapa nguvu wale Wazee wa "KATAA NDOA" maana kuna usaliti na umafia, kutembea na Ndugu wa damu au Rafiki waliotoka mbali ni UMAFIA.Kwanini sasa unaharibu urafiki wao? Unadhani main akisikia atafanyaje?
Duh umenikwaza [emoji57][emoji57]
Mkuu nishatoa pis moja huko loliondo ukoo wa ng'aida, ilikuja kwa nauli yake na kurudiπ π πhaya bana, ila tu usitume nauli
Mkuu nikupe ushahidi?Let me see her from your point of view