Pisi zitaniua

Nitaandikia novel
 
Naendelea kutesa kwa kuwa mchoyo sana kuendekeza pussies nikiwekeza juu ya Afya yangu Kiroho na kimwili kwa mlo bora, maombi ya kutosha na mazoezi mengi maana nilishastuka kitambo sana kuwa "no money no honey" nimebakiza miezi michache nigonge miaka mitano bila ya kuchepuka zaidi ya kuwa na PISI KALI wangu tu (Mke) [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha so u fall to bestie sbb ya usimple wake

Case yako ni kamzozo
Muhimu hapo main aliporudi usingempokea.
Ila kwakuwa ushafanya kosa,, usiku mwandikie sms ya kumchana ukweli. Af mwache afanye mwenyewe maamuzi
 
vibinti vya humu vichawi baada ya kuona mwenzao anapendwa vikaanza kujirahisisha ili kuingilia mawimbi ya watu na jamaa kawagonga kweli na njaaa njaa zao
 
Mm najua Extrovert huo mda Hana umezingua anakushit
 
Hahaha so u fall to bestie sbb ya usimple wake

Case yako ni kamzozo
Muhimu hapo main aliporudi usingempokea.
Ila kwakuwa ushafanya kosa,, usiku mwandikie sms ya kumchana ukweli. Af mwache afanye mwenyewe maamuzi
Yes i like simplicity sana pia yupo real sana anaongea unamsoma kuwa hapa kuna mtu...

pia sikumpokea mainchick kwasababu anajua namkubali basi amejipa ownership kuwa anaweza ingia muda wowote....

I will try my best asante kwa ushauri...maana bestie anaona text na anasimuliwa na sipend mkwaza nitajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…