Hold on π€£π€£ Hoodrat ni nani tena? Nijibu tuendeleeMkipendwaga mnavimba sana π€£π€£π€£ yale yale ya yule hoodrat aliopendwa na smart911 akavimba...
Mwishowe ooh siwezi kumtoa kichwani πππ! Msipende kuvimba mjue mna excess ya 1M kwa idadi. Ukipendwa pendeka, tuliaaa
Amemaindi flagi πππ ishi sana tu.hahahaha mzee wangu napiga bestie lakini nipo na mainchick bado shida ni nikipiga move tu kwa main bestie anakuja nisimulia kilakitu ... So nimepunguza movement Kwa mainchick
Mainchick alichokosea ni kunipaisha sana, sasa bestie anataka vyote apewe yeye...maana nilikuwa namcare balaa yan hadi ped ntamnunulia plus bites hahahaha
Anajulikana bana ujapita Cuba niniπHold on π€£π€£ Hoodrat ni nani tena? Nijibu tuendelee
Nimekujibu sababu....yan sikuwa na sababu hata kidogo Yan....mainchick nikituma screenshot zake utagundua kuna wanawake wapumbavu....utaona kama nimekosea au vipiMimi umeshanikwaza
Subiri kwanza nivute hewa
Mkatie mazima mainchick, uzuri bestie hawez fanya makosa hapo. Anajua akizingua unahama.hahahaha mzee wangu napiga bestie lakini nipo na mainchick bado shida ni nikipiga move tu kwa main bestie anakuja nisimulia kilakitu ... So nimepunguza movement Kwa mainchick
Mainchick alichokosea ni kunipaisha sana, sasa bestie anataka vyote apewe yeye...maana nilikuwa namcare balaa yan hadi ped ntamnunulia plus bites hahahaha
Duh@Depal honestly sikuwa na sababu ya kuharibu friendship yao....
Nilimpenda sana mainchick.... Alafu kipindi naanza nae mianya ya pesa ilikuwa mingi so I used to surprise her na nilimpenda sana....kias kwamba hata akija ghetto basi atashinda na simu yangu (sikuwa na mchepuko hata mmoja)
pia ameishawahi tumiwa simu yangu like one whole week
Shida nilikuja gundua mainchick anadate na jamaa flan hv dereva.... kupitia bestie maana that time (mainchick) alinitesa sana na akachange...imagine namplease aniambie nakosea wapi kmya
Pia namplease kama mahitaji yameongezeka nimpe ngapi kimya...
Basi katika kupuuziwa bestie apo anajua yote... alipata shida flan hv akaniita kwake and we ended up dating cause aliona nilivyo na true love
Tafakari ubora wa hiyo alternative pia!!Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja[emoji3] utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto[emoji51].
Hahahaaaaaa nick name ya kimataifa bablaiAnajulikana bana ujapita Cuba niniπ
Fact mkuu....@Depal usinilaumu Sana ...na hiyo yote ni sababu mainchick aliona nampenda... Maana nilikuwa mtulivu kuna kipindi naumwa hoi lakini akiomba hela napiga simu anatumiwa, Hali akinihitaj anytime nipo free, outing na vngne vingiMkipendwaga mnavimba sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yale yale ya yule hoodrat aliopendwa na smart911 akavimba...
Mwishowe ooh siwezi kumtoa kichwani [emoji3][emoji3][emoji3]! Msipende kuvimba mjue mna excess ya 1M kwa idadi. Ukipendwa pendeka, tuliaaa
I will make it official inshallah.... na yote haya nilikuwa namwambia mainchick kwamba katika ubaya nitaona wema wa wengine akawa anasema namtishia nifanye ninavyoona....Amemaindi flagi [emoji3][emoji3][emoji3] ishi sana tu.
OkNimekujibu sababu....yan sikuwa na sababu hata kidogo Yan....mainchick nikituma screenshot zake utagundua kuna wanawake wapumbavu....utaona kama nimekosea au vipi
DahFact mkuu....@Depal usinilaumu Sana ...na hiyo yote ni sababu mainchick aliona nampenda... Maana nilikuwa mtulivu kuna kipindi naumwa hoi lakini akiomba hela napiga simu anatumiwa, Hali akinihitaj anytime nipo free, outing na vngne vingi
but sisi introvert tunajaribu, nilijaribu mwaka mzima bila mafanikio ndio bestie akasogea kwangu
π€£ Hahaha kushuka vyeo atalia tena hasa akijua beste anammegea apple lake.Duh
Sa sikia
Mwambie ukweli.. achague kushuka kuwa kiside babe au asepe.
Ila umetengeneza uadui hapo balaaa
Kwanini mnatongoza marafiki? Hata kama mtu kakosea,, uwa mnakuwa na mlengo wa kumkomesha aliyekosea au?
We huyo kata line tu, hata usimwambie ili ahangaike na nafsi yake. Theres a big difference between being available and non existent.I will make it official inshallah.... na yote haya nilikuwa namwambia mainchick kwamba katika ubaya nitaona wema wa wengine akawa anasema namtishia nifanye ninavyoona....
eeWanawake huwa mnashangaza sana, you think you can freak out and back kwa jamaa yako anaekujali na kukuthamini and he'll be okay with it?
hapana sio kumkomesha....mfano mimi kuonana na girl nikampenda ni ngumu na majukumu yanabanaDuh
Sa sikia
Mwambie ukweli.. achague kushuka kuwa kiside babe au asepe.
Ila umetengeneza uadui hapo balaaa
Kwanini mnatongoza marafiki? Hata kama mtu kakosea,, uwa mnakuwa na mlengo wa kumkomesha aliyekosea au?
Yes nilikuwa namhudumia vizuri tu , Moto napeleka vizuri (siwezi msemea yeye) shida kubwa kwamujibu wa Shem inaonekana alianza na the guy mda mrefu....Ok
Ulikuwa unahudumia
Moto je? Ulichochea vyema?
Hahaha yaanUnafosi mzingaπ€£
eeee good women kazi na amewahi nigomea na hela yangu akagoma.Unafosi mzinga[emoji1787]