Pisi zitaniua

Hahahaha hawapendani kabisa....maana akati mainchick kasafiri kilasiku bestie alikuwa ananiita niende kwake maana wanaish same street....

ila ukiwaona picha za pamoja na wanapostiana status huwez dhani hahahahaha.
Kwahio hadi sasa main hajui kama unabokoa beste, bado unakula zote? 🀣
 
Endekeza uzinzi uje kuumwa hata pesa ya panadol uje ikosa

#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
 
Kwahio hadi sasa main hajui kama unabokoa beste, bado unakula zote? [emoji1787]
hahahaha mzee wangu napiga bestie lakini nipo na mainchick bado shida ni nikipiga move tu kwa main bestie anakuja nisimulia kilakitu ... So nimepunguza movement Kwa mainchick

Mainchick alichokosea ni kunipaisha sana, sasa bestie anataka vyote apewe yeye...maana nilikuwa namcare balaa yan hadi ped ntamnunulia plus bites hahahaha
 
Bila mtaji boss usingetoboa Kwa bestie
 
Mimi umeshanikwaza
Subiri kwanza nivute hewa
 
@dronedrake

Mshauri mwenzio mkuuu [emoji23][emoji55]
 
Kwanini sasa unaharibu urafiki wao? Unadhani main akisikia atafanyaje?

Duh umenikwaza 😏😏
Mkipendwaga mnavimba sana 🀣🀣🀣 yale yale ya yule hoodrat aliopendwa na smart911 akavimba...

Mwishowe ooh siwezi kumtoa kichwani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€! Msipende kuvimba mjue mna excess ya 1M kwa idadi. Ukipendwa pendeka, tuliaaa
 
Kwanini sasa unaharibu urafiki wao? Unadhani main akisikia atafanyaje?

Duh umenikwaza [emoji57][emoji57]
@Depal honestly sikuwa na sababu ya kuharibu friendship yao....

Nilimpenda sana mainchick.... Alafu kipindi naanza nae mianya ya pesa ilikuwa mingi so I used to surprise her na nilimpenda sana....kias kwamba hata akija ghetto basi atashinda na simu yangu (sikuwa na mchepuko hata mmoja)

pia ameishawahi tumiwa simu yangu like one whole week

Shida nilikuja gundua mainchick anadate na jamaa flan hv dereva.... kupitia bestie maana that time (mainchick) alinitesa sana na akachange...imagine namplease aniambie nakosea wapi kmya

Pia namplease kama mahitaji yameongezeka nimpe ngapi kimya...

Basi katika kupuuziwa bestie apo anajua yote... alipata shida flan hv akaniita kwake and we ended up dating cause aliona nilivyo na true love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…