Pisi za South

Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
Africa jamii ya kwanza inayoongoza kwa uzuri ni ya Cushites Ethiopians.
Sidhani kama Kuna Wanawake Afrika hii wanawazidi Ethiopians kwa uzuri
Upate toto za kiamhara ama za kioromo ni kwisha kazi.
Wazulu wengi vitu feki hadi ngozi feki mipodozi mengi.
 
Sio wote ni wa kishua usitupaze hapa.

Kuna pisi za location, kuoga tu wanaogea vyumbani kwenye mabeseni. Usitake kutuaminisha kwamba South Africa yote ni mambo safi.
 
Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
Mbali South ulitembelea wapi tena hadi kufika conclusion hii?
 
Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
Acha ushamba we dogo, hao vibwengo wachafu wa tabia na afya full HIV ndio wanakuzuzua ? , we ukiona watoto kwa King Menelik kule Ethiopia kwa wahabesh na Eritrea si ndio utapata ukichaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…