Pisi za South

Hakuna KITU kaka usikute na WAO wanna wakubali wabongo SHIDA matunzo Hawa wetu njaa SANA maisha magumu. South wanaishi kishua just imagine pisi ya south ilikuja HUKU ETI ikashanga WATU kufua nguo kwa mkono vumbi la barabarani ETI ikauliza HIVI HUKU Kuna jangwa karibu. Vumbi sana .tetetetehhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…