Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,365
- 8,631
Wakati mbususu za Kigali zikichakatwa usiku huu, huko Ndola ni usiku wa lawama. Kipa la CAF limegoma kuingia kwenye mfumo.
TuliaHuu NAO ni Uzi?????
Ukimkosa vitu vya maana vya kuandika kaa kimya...
Kuwa kimya si UJINGA.
uingie taratibuTimu hii ni ndogo ila kocha ni mkubwa nikimaanisha wachezaji ndiyo maana mpira unakuwa papatu papatu.Timu kubwa kocha mdogo....