Pipoz pawaa

Pipoz pawaa

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Kamwe sisi-em haiwezi kushinda uchaguzi wa Arusha mjini. Hata wakimsimamisha mgombea wa maana then CDM ikaweka jiwe, walah jiwe litashinda. Piiipooz pawaaa. M4C!
Endelea..
 
Yaani unamaanisha hata wakimsimamisha yule raisi aliyetangulia against jiwe wataangukia pua!
 
Bora jiwe litakuwa halifisadi mali zetu, kuliko wa ungwana wa cc em wana kula mali kama viwavi jeshi.
 
Fikra kama hizi inaonesha tz baaaado kabisa!
 
Back
Top Bottom