Pink n red combination

Ewaaaaa... mi niko without tayari...


Tooobaaaa........
Babu unanimwaga radhi hadharani......

Sasa hapo umekaribisha na kufungulia wezi mwenyewee..... daaah
Nikiibiwa utakuwa umepanga wewee

Nani alikutumia hii maana hapo nilikuwa tungi balaa.
 
Usijali, dawa ya wezi ipo. Sina mswalie mtu kwenye mali za Kasie

View attachment 516752

Uuuwiiiii babuu umenifanya nipige yowee mbele ya kadamnasi bin hadhira.....

Basi wevi wote mkae mbali na Kasie maana babu Sam ndo ameshaamka na atayemkuta ama zake ama za babu.... msijesema hamkuambiwa shoka liko mkononi sime kibindoni panga kiunoni....

Haya babu mie nimetulizana maana si kwa ukali huo...
 
Asprin
Please stop sending graphical photos.

Be informed....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…