Pinga pinga na timu yao iliyoshindwa mitandaoni

Pinga pinga na timu yao iliyoshindwa mitandaoni

Mawazo ya poacher's.
Endeleeni kulinda maliasili. Huku mkiendelea kulia na umasikini wenu
Penye miti hakuna wajenzi.
Kazi kujisifia tu. Nalinda maliasili zetu..
Sasa ukishalinda nini kinafatilia.?
Hauna tofauti na mlinzi wa beki.
Analinda mabilioni analipwa laki 3.
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!

Hivyo ndivyo unavyoweza kuwaita Wapinzani wa TZ ambao ni dhahiri sasahivi akili zao zimeshikiliwa na mafisadi na walowezi wa nchi jirani ambao na wao ni Puppets wa international middleman wanaoyatumia makampuni ya huko kwao kuiba rasilimali za mataifa masikini.

Hotuba ya Mkuu wa nchi leo imewaumbua kama si kuwavua nguo. Hii ni hasa pale ilipogusia baadhi ya kauli za Marehemu Baba wa Taifa na hatua alizochukua kulinda Rasilimali za Nchi na kufanya mapinguzi ya Viwanda humu nchini.

Ninanukuu:

Baada ya miaka michache ya kupata Uhuru, Mwalimu Nyerere alitambua kuwa huwezi kupata maendeleo kama njia kuu za uzalishaji zimeshikiliwa na watu binafsi peke yake, ni lazima serikali ishiriki kikamilifu na huo ndio ukweli wenyewe.

Nchi zote zilizofanikiwa duniani, serikali zao zilishiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi hivyo aliona upo umuhimu wa kujenga misingi itayowezesha seriakali kushiriki kikamilifu na ndipo azimio la Arusha lilipozaliwa mwaka 1967.

Mbali na azimio la Arusha kuweka miiko kuwabana viongozi kujilimbikizia mali, kulisaidia kuzuia mashirika na makampuni ambayo yalitumiwa na mabepari kutorosha rasilimali zetu kwenda nje ya nchi. Serikali ikajenga viwanda na mashirika, tulikuwa na viwanda vingi na kupunguza utegemezi kutoka nje, shirika la ndege pia lilikuwa na ndege 9. Lilianzishwa shirika la nyumbalililokuwa na nyumba zaidi ya 6,000

Pia namnukuu mwalimu, alisema 'Ni vyema madini yetu tukayaacha mpaka watanzania tutakapokuwa na ufahamu wa kutosha wataamua kuyachimba' mwisho wa kunukuu."

Haya ndiyo mafisadi na Chama chao pamoja na mabwana zao wa jirani na huko ughaibuni hawataki kuyasikia.

Wameajiri puppets zaidi ya 200 kukesha na kushinda mitandaoni wakiwa wamefundishwa ugaidi wa Habari( Information terrorism) ambako wanachofanya ni kuchafua na kupotosha kwa haraka kila jema liongewalo juu ya performance ya Serikali na hususani Hotuba za Mkuu wa Nchi.

Baada ya hayo inafata press ya either Msemaji wa Chama chao au kiongozi yeyote wakwao kulingana na walivyojipanga. Huyu naye atajibu kwa vipengele vyenye nia ya kuupotosha umma na ambavyo ni vile vile vilivyoandikwa na wale 200 puppets wao wa Mtandaoni ili uonekane ni hoja toka kwa wananchi.

Kinachofata baada ya wiki moja ama moja na nusu wataibuka na tukio la kupanga lenye nia ya kuuonyesha umma Serikali haitendi haki,inawaonea,wanatafutwa nk mradi wafikishe ujumbe kuchonganisha Serikali ichukiwe na Wananchi.

Huu mimi nauita ni ugaidi tena uhujumu mbaya sana kwa kundi kama hili linalotafuta madaraka kwa kila mbinu ovu na chafu.

Watanzania msighilibiwe na hawa. Waepukeni na muwaogope kama ukoma.

Kwenu ninyi vijana mnaotumika:
Mkae mkijua mnaharibikiwa na kibaya zaidi ni mnajenga kizazi kibovu chenye unafiki na roho mbaya zenye upofu wa majibu sahihi ya Utaifa wenu. Bomu mnalotengeneza leo litawagharimu ninyi wenyewe.

Amkeni usingizini mujitambue
Ushuzi zaidi ya ushuzi wa fisi
 
"enlightenmentmovement." How does it suppose to mean while you being used by those thief's from abroad?
Being used!!!?
~~It is u..and your CCM philosophers!!
Since Independence the so called thieves are the one u depend on:
~To Formulate your development policies and political ideologies

~To Enhance and sustain yo financial budgets every year u mention them on every page of your budget report by the name "donors...investors"

~If the so called thieves are real,they were invinted and given support by CCM in the name of lawful contract!
"Every investment project they run it is not by surprise. It is operating under legal frameworks"

~Every illicit financial flow from Tanzania to abroad it is planned and supported by CCM leaders both from the govt and party levels(history proves by evidence and facts)

~The so called thieves from abroad are the one u depend on technical support!
Bombadier u buy from them,oil&petroleum u buy from them,ammunitions u buy from them,heavy equipments for industrial development u buy from them, every technology u buy or get help from the thieves. (&most of the time u pay by installment & loan)

~The so called thieves from abroad are the one who funds most of your development projects.USAID&JICA for example.

Back to Renaissance and enlightenment movement:how does it suppose to mean!!?.

~Following great changes in human history,especially thinking against popular beliefs . (like CCM is a purified party with charismatic acceptance or few days to come Tanzania will sell second hand clothes to America and Europe or CCM leaders are always right)

The Renaissance and enlightenment periods proves wrong the classical periods great philosophers, Church leaders, and the Kings by new ways of doing things,new ideologies,new conceptions of the Society and other significant changes.

As far as development is concerned we need a new Renaissance&enlightenment move to support our societies to get a clear picture of what is real development,what is change.

We need the Galileo Galilei, Isaac Newton,of the 21st century.We need more intellectuals who can prove wrong one another and celebrate change by living examples like what we are celebrating here and other social medias,I.e the modern science and technology from abroad ( where the so called thieves comes from)

The Genesis of modern science and technology in the world began from the Renaissance and enlightenment intellectual movement.
Wake up and have a new thinking don't believe CCM or CHADEMA WILL BRING THE CHANGE WE ASPIRE.

LET US MAKE IT TOGETHER AS A NATION!!!
 
Donner's have never stole anything in this Country! Only thief's under the name of middleman are the ones using you gys to manipulate n stole our resources
 
Donner's have never stole anything in this Country! Only thief's under the name of middleman are the ones using you gys to manipulate n stole our resources
U sound like u have proactive interference,Education is a process,Sometimes u don't have to understand
~U just listen and remember!!
 
Growing your own food is similar to printing your own money!!! That's why some rouge developed country are busy to ensure that people like you do not think of being self sufficient in the food security issues.
Wallah hii nchi imejaa masakala, mkishashiba tambi walikoolewa dada zenu hamjui kuna asilimia 43 ya Watanzania kwa mwaka mzima hawaishiki 300,000 wao hula mahindi wanayolima.

Hii nchi haiishii Buguruni dogo
 
Kama ameongea hivyo ameconfirm ukweli niliowahi kuueleza hapa. ukichunguza mwenendo wa kukosolewa kwa Mh Rais na distortion of information inayofanyika JF ni dhahiri kuna mpango maalumu unaosimamiwa na wenye nia mbaya.Na Hali hii imeenda hadi kweny TV na print media. Ni aibu kuwa na media Kama zilizopo Tanzania.

Sasa hivi kinyume na ilivyokuwa nyuma, na clear bench mark ni baada ya kuondoka Dr Slaa, vijana wa CHADEMA ndiyo wanaoongoza kwa matusi makubwa na kejeli za ovyo ovyo badala ya kutoa hoja. Kama kuna mtu anatoa hoja makini, ubaki kumshambulia mfululizo kwa comments nyingi ili walazimishe kumzidi nguvu. Na hata ukiwajibu kwa hoja, wataendeleza vituko na kujifanya vipofu wa hoja yako.

We hujiulizi hawa vijana wanashinda mtandaoni masaa yote wanafanya kazi saa ngapi?
 
CCM haina wezi wa magari
Wezi wa EPA kina maranda rajabu walikuwa chama ganii?, escrow, kagoda, meremeta, twin towers? Hawa walikuwa chama gani? Y
Yule mzee aliyepewa zahabu ya bl 400 alikuwa chama gani?
Waliouza nyumba za serikali kwa vimada walikuwa chama gani?
Rada, ndege ya raisi ... kutaja machache. Kivuko cha kigamboni hawa wote wanatokea wapi
Bora kuwa na mwizi wa magari kuliko anayeuza nyumba za serikali na kujenga nyingine
Wewe ni ccm njaa
 
Kama ameongea hivyo ameconfirm ukweli niliowahi kuueleza hapa. ukichunguza mwenendo wa kukosolewa kwa Mh Rais na distortion of information inayofanyika JF ni dhahiri kuna mpango maalumu unaosimamiwa na wenye nia mbaya.Na Hali hii imeenda hadi kweny TV na print media. Ni aibu kuwa na media Kama zilizopo Tanzania.

Sasa hivi kinyume na ilivyokuwa nyuma, na clear bench mark ni baada ya kuondoka Dr Slaa, vijana wa CHADEMA ndiyo wanaoongoza kwa matusi makubwa na kejeli za ovyo ovyo badala ya kutoa hoja. Kama kuna mtu anatoa hoja makini, ubaki kumshambulia mfululizo kwa comments nyingi ili walazimishe kumzidi nguvu. Na hata ukiwajibu kwa hoja, wataendeleza vituko na kujifanya vipofu wa hoja yako.

We hujiulizi hawa vijana wanashinda mtandaoni masaa yote wanafanya kazi saa ngapi?
 
Haya nayo ya kuilaumu Serikali?
Km wewe ni Mzazi basi ni mzembe na huijali familia yako.
Umeshajua Mwanao ni above 5 sasa hata kumkatia bima ya afya unashindwa? Kweli acha upigwe hiyo 10,000/= kila uingiapo naye kwenye lile geti.
Hao wananchi wanazo sh 50,000/= za kukatia bima ya afya watoto wao?
 
Growing your own food is similar to printing your own money!!! That's why some rouge developed country are busy to ensure that people like you do not think of being self sufficient in the food security issues.
Having no friends is not equal to yourself, brother. Naposema wanakula mahindi wanayovuna namaanisha walipo hakuna cash flow. Nani hapa duniani anaishi kwa kula nafaka na majani peke yake kama dumuzi?

Wanawapelekaje shule watoto wao? By the way, watu naowazungumzia ndio most vulnerable when it comes to famine.
 
Kaya yetu haijawahi kuongozwa na mkuu mpuuzi, mzandiki, mnafiki, mwenye kijicho, mshamba, limbukeni, mchawi, mropokaji, vuvuzela, mjivuni kama huyu wa sasa. Ni zero kabisa. Amejenga matabaka baina ya wanafamilia hata hawaelewani.
Una raha sana kwa kuongozwa na form six failure na fisadi
 
Mkiambiwa ukweli huwa mnakimbilia issue za lumumba eeh?
Jinga lao kama unajua ukweli twambie basi mmiliki wa vile vichwa vya treni pale bandarini? Twambie wezi wa pesa za escrow wanatokea upande gani wa nchi? Twambie wale viongozi wa vyama vya wafanyakazi walipewa ngapi na phd holder? Twambie kwann phd holder alienda monduli usiku kuweka mambo sawa? Twambie kina mahita walifuata nn magogoni?
 
Haya nayo ya kuilaumu Serikali?
Km wewe ni Mzazi basi ni mzembe na huijali familia yako.
Umeshajua Mwanao ni above 5 sasa hata kumkatia bima ya afya unashindwa? Kweli acha upigwe hiyo 10,000/= kila uingiapo naye kwenye lile geti.
Unalipwa lakini! Naona unatumia muda wako kumtetea mtu yeye mwenyewe katuliia anakula kuku ikulu wewe wala vumbi mtaani.
 
Eti pinga pinga hahaha CCM ni wapumbavu sana kuiona CHADEMA kua ndie adui yenu huku mkimuacha aduienu sahihi
Anayewachongea kwa wananchi ni hali ngumu ya maisha,huduma mbovu za Afya (siku hizi pale Temeke hata watoto wenye Sickle Cell above 5 wanatakiwa kulipa 10,000) ili wamuone Daktari pamoja na elimu ya mashaka,bila ya kusahau tambo kejeli pamoja na upendeleo wa magufuli anaouonyesha waziwazi.
Pambaneni na hayo kwanza kabla ya kuilaumu Chadema, ukweli Mimi sina chama ila akiongea Mzee wa kibetri cha moyo Mimi nachafukwa sana moyo maana maneno yake hayana nafuu yoyote kwa mtanzania
Kudos mkuu.....umewapa intro....waendelee wenyewe sasa.
 
Back
Top Bottom