Duh kweli sahizi CCM mmejaa HOFU!!!..Hakuna kujiamini tena mda woote mnawaza CHADEMA.
Mlidhani mkizuia mikutano ya hadhara,maandamano,bunge live na kuwanyanyasa wapinzani mtawatawala watanzania kama mifugo...lakini wapii hali ndo kwanza inazidi kuwa tete.
Siasa imehamia mtandaoni Mmejaaa HOFU kila kona Mnawaza CHADEMA.
Wafanyakazi wadai haki zao
hoja ZAO NI ZA CHADEMA!!
Wananchi walalamike MAISHA MAGUMU @wamechochewa na CHADEMA!!!
Rais ahutubie pumba@CHADEMA WANAPOTOSHA umma!!!
Hivi ni lini mtaamini dunia imebadilika!!!?
Ni lini mtaachana na fikira za kuamini mpo sahihi mda wote!!?
Acheni ujinga this is the 21st Century Renaissance &enlightenment movement.
People are so active more than u can possibly imagine.
Tatizo siyo CHADEMA tatizo ni CCM kutafsiri maendeleo kwa Tanzania ya KUFIKIRIKA!!
Watanzania wanataka MABADILIKO,wayaone na kuyaishi!!
HATUTAKI HADITHI COZ MAISHA YAKO LIVE NA SOTE TUNAONA NA KUHISI HALI MBAYAAAAAAAA!!!