Pinga pinga na timu yao iliyoshindwa mitandaoni

Zanika

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,316
Reaction score
752
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!

Hivyo ndivyo unavyoweza kuwaita Wapinzani wa TZ ambao ni dhahiri sasahivi akili zao zimeshikiliwa na mafisadi na walowezi wa nchi jirani ambao na wao ni Puppets wa international middleman wanaoyatumia makampuni ya huko kwao kuiba rasilimali za mataifa masikini.

Hotuba ya Mkuu wa nchi leo imewaumbua kama si kuwavua nguo. Hii ni hasa pale ilipogusia baadhi ya kauli za Marehemu Baba wa Taifa na hatua alizochukua kulinda Rasilimali za Nchi na kufanya mapinguzi ya Viwanda humu nchini.

Ninanukuu:

Baada ya miaka michache ya kupata Uhuru, Mwalimu Nyerere alitambua kuwa huwezi kupata maendeleo kama njia kuu za uzalishaji zimeshikiliwa na watu binafsi peke yake, ni lazima serikali ishiriki kikamilifu na huo ndio ukweli wenyewe.

Nchi zote zilizofanikiwa duniani, serikali zao zilishiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi hivyo aliona upo umuhimu wa kujenga misingi itayowezesha seriakali kushiriki kikamilifu na ndipo azimio la Arusha lilipozaliwa mwaka 1967.

Mbali na azimio la Arusha kuweka miiko kuwabana viongozi kujilimbikizia mali, kulisaidia kuzuia mashirika na makampuni ambayo yalitumiwa na mabepari kutorosha rasilimali zetu kwenda nje ya nchi. Serikali ikajenga viwanda na mashirika, tulikuwa na viwanda vingi na kupunguza utegemezi kutoka nje, shirika la ndege pia lilikuwa na ndege 9. Lilianzishwa shirika la nyumbalililokuwa na nyumba zaidi ya 6,000

Pia namnukuu mwalimu, alisema 'Ni vyema madini yetu tukayaacha mpaka watanzania tutakapokuwa na ufahamu wa kutosha wataamua kuyachimba' mwisho wa kunukuu."

Haya ndiyo mafisadi na Chama chao pamoja na mabwana zao wa jirani na huko ughaibuni hawataki kuyasikia.

Wameajiri puppets zaidi ya 200 kukesha na kushinda mitandaoni wakiwa wamefundishwa ugaidi wa Habari( Information terrorism) ambako wanachofanya ni kuchafua na kupotosha kwa haraka kila jema liongewalo juu ya performance ya Serikali na hususani Hotuba za Mkuu wa Nchi.

Baada ya hayo inafata press ya either Msemaji wa Chama chao au kiongozi yeyote wakwao kulingana na walivyojipanga. Huyu naye atajibu kwa vipengele vyenye nia ya kuupotosha umma na ambavyo ni vile vile vilivyoandikwa na wale 200 puppets wao wa Mtandaoni ili uonekane ni hoja toka kwa wananchi.

Kinachofata baada ya wiki moja ama moja na nusu wataibuka na tukio la kupanga lenye nia ya kuuonyesha umma Serikali haitendi haki,inawaonea,wanatafutwa nk mradi wafikishe ujumbe kuchonganisha Serikali ichukiwe na Wananchi.

Huu mimi nauita ni ugaidi tena uhujumu mbaya sana kwa kundi kama hili linalotafuta madaraka kwa kila mbinu ovu na chafu.

Watanzania msighilibiwe na hawa. Waepukeni na muwaogope kama ukoma.

Kwenu ninyi vijana mnaotumika:
Mkae mkijua mnaharibikiwa na kibaya zaidi ni mnajenga kizazi kibovu chenye unafiki na roho mbaya zenye upofu wa majibu sahihi ya Utaifa wenu. Bomu mnalotengeneza leo litawagharimu ninyi wenyewe.

Amkeni usingizini mujitambue
 
mbona mpaka leo nchi ni masikini, hats kulipa mishahara mbashindwa
 
Mkuu unalipwa kiasi gani? Polee

Umerogwa ww alaf huna marinda, kjana wa lumumba
 
Hata darasani tunaambiwa serikali inabidi ishirikiane na sekta binafsi katika maendeleo.

Hiyo itakua kupitia sera, ambazo Dangote anasema siyo rafiki. Darasani hua tunasema kuna sera ambazo hazitekelezeki, zinapendeza kwenye karatasi lakini kosa ni hua tunakopi kutoka mataifa mengine na kupest hapa.

Kupitia sheria, ambazo zinapinduliwa kadri mtu anavyojisikia. Watunga sheria wanaruhusiwa kujua kusoma na kuandika tu hata uelewa basic hakuna.

Kwa miaka yote ya nyuma serikali ilishirikiana na sekta binafsi, kama maendeleo hayakuja leo hii usitafute mchawi.
Kwakua miaka yote hiyo serikali iliundwa na chama ambacho ndiyo kinaongoza sasa hivi.

Naamini Raisi ana hamu na kuikwamua Tz ila measures zake ndiyo hua zinaacha maswali lukuki.
 
Eti pinga pinga hahaha CCM ni wapumbavu sana kuiona CHADEMA kua ndie adui yenu huku mkimuacha aduienu sahihi
Anayewachongea kwa wananchi ni hali ngumu ya maisha,huduma mbovu za Afya (siku hizi pale Temeke hata watoto wenye Sickle Cell above 5 wanatakiwa kulipa 10,000) ili wamuone Daktari pamoja na elimu ya mashaka,bila ya kusahau tambo kejeli pamoja na upendeleo wa magufuli anaouonyesha waziwazi.
Pambaneni na hayo kwanza kabla ya kuilaumu Chadema, ukweli Mimi sina chama ila akiongea Mzee wa kibetri cha moyo Mimi nachafukwa sana moyo maana maneno yake hayana nafuu yoyote kwa mtanzania
 
huyu wasisiemu amekuja kupiga promo yann anadhani wote wapumbavu kama wao? wanaojitekenya iliwapate kucheka?
 
Eti pinga pinga hahaha CCM ni wapumbavu sana kuiona CHADEMA kua ndie adui yenu huku mkimuacha aduienu sahihi
Anayewachongea kwa wananchi ni hali ngumu ya maisha,huduma mbovu za Afya (siku hizi pale Temeke hata watoto wenye Sickle Cell above 5 wanatakiwa kulipa 10,000) ili wamuone Daktari pamoja na elimu ya mashaka,bila ya kusahau tambo kejeli pamoja na upendeleo wa magufuli anaouonyesha waziwazi.
Pambaneni na hayo kwanza kabla ya kuilaumu Chadema, ukweli Mimi sina chama ila akiongea Mzee wa kibetri cha moyo Mimi nachafukwa sana moyo maana maneno yake hayana nafuu yoyote kwa mtanzania
Haya nayo ya kuilaumu Serikali?
Km wewe ni Mzazi basi ni mzembe na huijali familia yako.
Umeshajua Mwanao ni above 5 sasa hata kumkatia bima ya afya unashindwa? Kweli acha upigwe hiyo 10,000/= kila uingiapo naye kwenye lile geti.
 
Ni ujinga sana mama mwenye nyumba kushindana na housegal.
 
Hata darasani tunaambiwa serikali inabidi ishirikiane na sekta binafsi katika maendeleo.

Hiyo itakua kupitia sera, ambazo Dangote anasema siyo rafiki. Darasani hua tunasema kuna sera ambazo hazitekelezeki, zinapendeza kwenye karatasi lakini kosa ni hua tunakopi kutoka mataifa mengine na kupest hapa.

Kupitia sheria, ambazo zinapinduliwa kadri mtu anavyojisikia. Watunga sheria wanaruhusiwa kujua kusoma na kuandika tu hata uelewa basic hakuna.

Kwa miaka yote ya nyuma serikali ilishirikiana na sekta binafsi, kama maendeleo hayakuja leo hii usitafute mchawi.
Kwakua miaka yote hiyo serikali iliundwa na chama ambacho ndiyo kinaongoza sasa hivi.

Naamini Raisi ana hamu na kuikwamua Tz ila measures zake ndiyo hua zinaacha maswali lukuki.
Ukiwa unaendelea kusoma hapo Darasani na kufanya Speculation
Jiulize kwa nini Dangote na kuwa ni bilionea namba moja Afrika lkn kwao kuna majority wenye hali duni kuliko Tz.
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!

Hivyo ndivyo unavyoweza kuwaita Wapinzani wa TZ ambao ni dhahiri sasahivi akili zao zimeshikiliwa na mafisadi na walowezi wa nchi jirani ambao na wao ni Puppets wa international middleman wanaoyatumia makampuni ya huko kwao kuiba rasilimali za mataifa masikini.

Hotuba ya Mkuu wa nchi leo imewaumbua kama si kuwavua nguo. Hii ni hasa pale ilipogusia baadhi ya kauli za Marehemu Baba wa Taifa na hatua alizochukua kulinda Rasilimali za Nchi na kufanya mapinguzi ya Viwanda humu nchini.

Ninanukuu:

Baada ya miaka michache ya kupata Uhuru, Mwalimu Nyerere alitambua kuwa huwezi kupata maendeleo kama njia kuu za uzalishaji zimeshikiliwa na watu binafsi peke yake, ni lazima serikali ishiriki kikamilifu na huo ndio ukweli wenyewe.

Nchi zote zilizofanikiwa duniani, serikali zao zilishiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi hivyo aliona upo umuhimu wa kujenga misingi itayowezesha seriakali kushiriki kikamilifu na ndipo azimio la Arusha lilipozaliwa mwaka 1967.

Mbali na azimio la Arusha kuweka miiko kuwabana viongozi kujilimbikizia mali, kulisaidia kuzuia mashirika na makampuni ambayo yalitumiwa na mabepari kutorosha rasilimali zetu kwenda nje ya nchi. Serikali ikajenga viwanda na mashirika, tulikuwa na viwanda vingi na kupunguza utegemezi kutoka nje, shirika la ndege pia lilikuwa na ndege 9. Lilianzishwa shirika la nyumbalililokuwa na nyumba zaidi ya 6,000

Pia namnukuu mwalimu, alisema 'Ni vyema madini yetu tukayaacha mpaka watanzania tutakapokuwa na ufahamu wa kutosha wataamua kuyachimba' mwisho wa kunukuu."

Haya ndiyo mafisadi na Chama chao pamoja na mabwana zao wa jirani na huko ughaibuni hawataki kuyasikia.

Wameajiri puppets zaidi ya 200 kukesha na kushinda mitandaoni wakiwa wamefundishwa ugaidi wa Habari( Information terrorism) ambako wanachofanya ni kuchafua na kupotosha kwa haraka kila jema liongewalo juu ya performance ya Serikali na hususani Hotuba za Mkuu wa Nchi.

Baada ya hayo inafata press ya either Msemaji wa Chama chao au kiongozi yeyote wakwao kulingana na walivyojipanga. Huyu naye atajibu kwa vipengele vyenye nia ya kuupotosha umma na ambavyo ni vile vile vilivyoandikwa na wale 200 puppets wao wa Mtandaoni ili uonekane ni hoja toka kwa wananchi.

Kinachofata baada ya wiki moja ama moja na nusu wataibuka na tukio la kupanga lenye nia ya kuuonyesha umma Serikali haitendi haki,inawaonea,wanatafutwa nk mradi wafikishe ujumbe kuchonganisha Serikali ichukiwe na Wananchi.

Huu mimi nauita ni ugaidi tena uhujumu mbaya sana kwa kundi kama hili linalotafuta madaraka kwa kila mbinu ovu na chafu.

Watanzania msighilibiwe na hawa. Waepukeni na muwaogope kama ukoma.

Kwenu ninyi vijana mnaotumika:
Mkae mkijua mnaharibikiwa na kibaya zaidi ni mnajenga kizazi kibovu chenye unafiki na roho mbaya zenye upofu wa majibu sahihi ya Utaifa wenu. Bomu mnalotengeneza leo litawagharimu ninyi wenyewe.

Amkeni usingizini mujitambue
Nikuulize maswali mafupi yafuatayo wewe mchochezi namba moja unayejificha hapo lumumba ili kulijaza tumbo lako.
1: Ni nani aliyelivunja azimio la arusha
leo mnajifanya kulisemea?
2: Ni nani aliyebinafsisha migodi ya
dhahabu na almasi ambayo leo mnajitahidi kukumbuka alivyoshauri mwl?
3: Ni nani aliyeuza viwanda alivyovianzisha mwl?
4: Ni nani aliyeuza nyumba za watumishi wa umma alizozijenga mwl?
5: Uliwahi kuona wapi mbwa ambaye ni mlinzi akivunja ghala na kuiba? Cdm ni watchdog na kazi yake ni kuku-alert juu ya ukengeufu na wizi unaofanyika kati yenu ninyi ccm. Leo hii wewe mleta mada kwa upofu wa ubongo wako na ama kwa kulilinda tumbo lako unawaita magaidi wa habari badala ya kujiita ninyi huko ccm panya waharibifu na wasioshiba daima kwa kuvuruga na kuharibu kila alichokianzisha mwl!
Oneni aibu na acheni unafiki wenu. Hakuna asiyejua jinsi ccm mlivyo na ngozi ngumu isiyoweza kupenya aibu kwa kuwalaghai wananchi eti mnamuenzi kumbe mnamsanifu!
Ipo siku atawaijia na kujitokeza mbele zenu na kuwahoji sijui mtakimbia?
 
sasa mkuu unatuambiaje ili tuweze kuwaamini japo kwa nguvu HV serikali yenu haina connection baina ya taasisi na taasisi maana msemaji mkuu wa serkali amekuwa mpinzani mkuu wa mheshimiwa rais..

Mh rais amesema haongezi na hatoongeza mishahara kwa watumishi wa umma maana ana kazi nzito yakuijenga nchi Dr Abbasi kaja kumpinga rais sasa mzee huko juu inakuaje...maana kwa uandishi huu inaonekana nawe unakula keki ya taifa hivyo inawezekana utakuwa na majibu kidogo....hayo ya pumpets nakuachia mwenyewe maana nikikwambia unidhibitishie utakimbia....ni propaganda tu za kisiasa....nipe jibu mkuu..
 
Nikuulize maswali mafupi yafuatayo wewe mchochezi namba moja unayejificha hapo lumumba ili kulijaza tumbo lako.
1: Ni nani aliyelivunja azimio la arusha
leo mnajifanya kulisemea?
2: Ni nani aliyebinafsisha migodi ya
dhahabu na almasi ambayo leo mnajitahidi kukumbuka alivyoshauri mwl?
3: Ni nani aliyeuza viwanda alivyovianzisha mwl?
4: Ni nani aliyeuza nyumba za watumishi wa umma alizozijenga mwl?
5: Uliwahi kuona wapi mbwa ambaye ni mlinzi akivunja ghala na kuiba? Cdm ni watchdog na kazi yake ni kuku-alert juu ya ukengeufu na wizi unaofanyika kati yenu ninyi ccm. Leo hii wewe mleta mada kwa upofu wa ubongo wako na ama kwa kulilinda tumbo lako unawaita magaidi wa habari badala ya kujiita ninyi huko ccm panya waharibifu na wasioshiba daima kwa kuvuruga na kuharibu kila alichokianzisha mwl!
Oneni aibu na acheni unafiki wenu. Hakuna asiyejua jinsi ccm mlivyo na ngozi ngumu isiyoweza kupenya aibu kwa kuwalaghai wananchi eti mnamuenzi kumbe mnamsanifu!
Ipo siku atawaijia na kujitokeza mbele zenu na kuwahoji sijui mtakimbia?
Majibu ya hayo maswali mbona Mtendaji mkuu wa Serikali awamu hiyo mnaye huko?
Au akihama chama ndio basi na maamuzi aliyoshauri na kusimamia yanakuwa siyo yake?
 
Back
Top Bottom