mkuu wewe sasa umeongea vizuri sana.Hii tatizo litaisha lini.unajua leo hii nimeongea na ndugu yangu mmoja yupo kilosa.anasema kuwa ameshindwa kwenda kuleta mazao kutoka shambani kwani kuna road block kama mbili ,kwa hiyo anaitaji nimemsaidie pesa za ushuru kama elfu 50 ili aweze kuleta mazo nyumbani.Yaani hiyo ni kodi.Jamani huyu mkulima anapeleka mazao nyumbani kwa ajili chakula analipishwa kodi.kwa kweli nimesikitika sana ,na huku vigogo na wafanya biashara wakubwa wanasamehewa kodi huko kwenye bandari mamilioni ya pesa.Hiyo mbiu yao kilimo kwanza ndio hii hapa ya kuwatesa wanakijiji?.