Pinda: Waislamu waendelee kusimamia kuchinja

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
548
Reaction score
62
Serikali ya Tanzania imesema suala la kuchinja mifugo nchini humo haliko kisheria bali liko kimazoea kutokana na utamaduni uliokuwepo hapo awali hivyo viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu wanapaswa kuliangalia upya suala hilo ili kufikia muafaka. Hata hivyo, serikali imesema suala la uchinjaji linapaswa kuendelea kulingana na utamaduni huo wa zamani ambapo Waislamu ndio wanaosimamia shughuli ya uchinjaji.
Rai hiyo inatokana na vurugu za kidini zilizotokea Buselesele, mikoani Geita na Mwanza hivi karibuni. Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekutana na viongozi wa kidini mkoani Mwanza ambapo amewasihi kutambua kuwa wana jukumu kubwa kwa wafuasi wao. Amesema serikali itaufanyia kazi mgogoro huo ili kumaliza utata uliojitokeza ambao unaonekana kuvunja amani, upendo na utulivu uliopo baina ya wafuasi wa dini hizo. Aidha ameagiza iundwe kamati ya pande zote mbili ambayo itakaa na kusimamia suala hilo katika kipindi kifupi ili kumaliza mgogoro huo.
 
kwenye maisha yangu sikuwahi kuwaza kuwa nitakuja kuwa na chuki na waumini wa madhehebu au dini nyingine ila sasa waislamu wanachokoza hisia zangu, chuki inaanza kujengeka moyoni mwangu, tafadhali waislamu acheni mnachofanya hamuwawezi Wakristo hata chembe. Tahadhari
 
Binafsi simuelewi Pinda; hivi kweli kiongozi makini, mwenye Busara wa ngazi yake anaweza akatoa tamko hilo. Hivi lengo lake ni nini? Zaidi ya "cheap popularity kwa Waislamu na Boss wake! Ni kweli ulio wazi kwamba huo utaratibu ni wa muda mrefu. Jee ni vyema kughaghania taratibu zilizowekwa kwa makosa na hazina zisizoleta tija? Umoja na Amani vinauhusiano gani na mtu kuamua ale nyama iliyochinjwa vipi? Jee ni haki mtu akumualie ule nyama iliyochinjwa vipi? Jee huku kuchinja anakukumbatia Pinda na wenzake hawajui kuwa ni ibada ya Kiislamu? Ni kwa nini Waislamu hawataki nyama isiyochinjwa na Muislamu? Kwa nini kwa sababu hizo hizo Waktristu wasikatae kula nyama aliyochinja Muislamu? Hivi kweli Pinda na Nchimbi hawalioni hilo. Kuna kosa gani Wakristu sasa kugunduwa hayo mapungufu na kutaka yabadirishwe mara moja? Ningeelewa kama Wakristu wangevamia machinjio na kuwafukuza Waislamu wasichinje na kuwalazimisha Waislamu wale nyama wanazoita haramu. Au wangeomba kupewa zamu ya kuchinja wanyama wote siku hiyo. Lahasha hawaombi hilo sasa Pinda tatizo liko wapi wewe kutamka kuwa mtu ale nysama anayotaka na kwamba serikali haiwezi kuingilia imani za watu. Mnasafiri na hata hapa tumeona makasha ya nyama zinazotoka nje zimeandikwa "HALAL Meat" hamjaona hayo? Nilichotegemea Pinda ktamka ni kwamba kwa sababu Waislamu wanataka nyama "halal" kwa maana yao; bucha zinazo hizo nyama ziandikwe nje ili Waislamu wanunue huko. Ikiwa hivyo na ndivyo ilivyo dunia yote tatizo liko wapi? Viongozi wapendwa msiwasukume WAKRISTU mahali pabaya. Wakristu wamevumilia mengi na kila siku lina zuka baya zaidi. Wakristu ni binadamu wa kawaida sio Mitume wala malaika uvumilivu utawashinda, shetani anaweza akawashinda nguvu nao wakafanya wanayofanya Waislamu. Jee Pinda unataka wafikie huko? Na jee hamuoni kuwa halio okiendelea hivi hilo linaweza likatokea hata kesho? Jee mnafikiri Wakristu hawanauwezo wakufanya hayo kama binadamu wa kawaida? Mbona mnaichafua CCM kiasi hicho. Tunaimani mnadhamira zinazofanya kazi isipokuwa shetani anawashinda nguvu, nuogopeni MUNGU AMINA
 
dont think if he is serious and he know what he is doing. Amezungumza kufurahisha waislam na kwa kufuata upepo wa siasa. kwa kwa Albino alilia hili si zaidi. Mbona hana uzalendo
 
Pinda nae utafikiri sio mwanasheria......sasa kwa nini msiweke sheria rasmi badala ya hayo "mazowea" yenu.........nchi zote zenye usataarabu kuna sheria za kusimamia BUCHA HAHAL(Kwa Waislamu) na BUCHA ZA KAWAIDA (kwa wasio Waislamu)....mbona rahisi tu au hutaki kuudhi bosi wako?
 
Serikali ya Tanzania imesema suala la kuchinja mifugo nchini humo haliko kisheria bali liko kimazoea kutokana na utamaduni uliokuwepo hapo awali hivyo viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu wanapaswa kuliangalia upya suala hilo ili kufikia muafaka. Hata hivyo, serikali imesema suala la uchinjaji linapaswa kuendelea kulingana na utamaduni huo wa zamani ambapo Waislamu ndio wanaosimamia shughuli ya uchinjaji.
Rai hiyo inatokana na vurugu za kidini zilizotokea Buselesele, mikoani Geita na Mwanza hivi karibuni. Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekutana na viongozi wa kidini mkoani Mwanza ambapo amewasihi kutambua kuwa wana jukumu kubwa kwa wafuasi wao. Amesema serikali itaufanyia kazi mgogoro huo ili kumaliza utata uliojitokeza ambao unaonekana kuvunja amani, upendo na utulivu uliopo baina ya wafuasi wa dini hizo. Aidha ameagiza iundwe kamati ya pande zote mbili ambayo itakaa na kusimamia suala hilo katika kipindi kifupi ili kumaliza mgogoro huo.

Hawa ndio viongozi tulionao unategemea wanafunzi watafaulu shule kweli, huduma za afyya zitakuwa nzuri, wanatishia watu maisha harafu wanasema nimemaliza mgogoro
 
dont think if he is serious and he know what he is doing. Amezungumza kufurahisha waislam na kwa kufuata upepo wa siasa. kwa kwa Albino alilia hili si zaidi. Mbona hana uzalendo

he never be serious, he knows how to wave his facial skin into humps.
 
kwenye maisha yangu sikuwahi kuwaza kuwa nitakuja kuwa na chuki na waumini wa madhehebu au dini nyingine ila sasa waislamu wanachokoza hisia zangu, chuki inaanza kujengeka moyoni mwangu, tafadhali waislamu acheni mnachofanya hamuwawezi Wakristo hata chembe. Tahadhari

tutolee uozo wako hapa,chuki dhidi ya muislamu umezaliwa nayotoka tumboni kwa mamako, hakuna KAFIRI mwenye mapenzi na Muislam hata kidogo acha unafki wako!
 
UOZO unao mwenyewe ndio maana unapiga push up kwa Mungu wako!! ww kafiruna km mwenzio umemwita kafiri.
 
tutolee uozo wako hapa,chuki dhidi ya muislamu umezaliwa nayotoka tumboni kwa mamako, hakuna KAFIRI mwenye mapenzi na Muislam hata kidogo acha unafki wako!

Sasa unasemaje kuhusu "huyo kafiri" aliemuoa dada yako Fatuma? Pumbaf wewe
 
Wakristo ndio akina nani hao?
Maana WAFUASI wa kweli wa YESU ambaye huyo kwao ndiye Kristo vita yao sio ya damu na nyama, ni katika ulimwengu wa roho tu. Huwezi pigana na PEPO kimwili ati. Tusugue magoti jamani, mambo ya mwili ni ya ulimwengu tu, sisi sio wa hapa tunapita tu.:amen:
 
Back
Top Bottom