Pinda wa Rukwa na Katavi tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda wa Rukwa na Katavi tu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ABEDNEGO, Nov 27, 2011.

 1. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Naguswa sana na jambo hili kuwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda anaihangaikia Mikoa anayotoka Rukwa na Katavi tu hizi ni sera za Ukabila naU majimbo! Kwanza amehangaikia kugawanywa kwa Mkoa wa Rukwa na kupata Katavi wenye tarafa moja tu,Pili Kongamano la uwekezaji aliloliahamasisha kufanyika huko huko.Juzi na jana Tamasha la makabila yatokayo Rukwa na Katavi. Acha yale mengi aliyokwisha kuyaelekezea huko.Sasa najiuliza Mikoa tusiyokuwa na mtu aitwaye Waziri au Waziri Mkuu hatutakaa tupewe vipau mbele vya maendeleo?Huyu Waziri Mkuu ananitia shaka sana kama vile anatekeleza ahadi zake za ubunge kwao!Ana ubavu wa kuwakemea mawaziri wanaotumia nafasi zao kujipendelea kuleta maendeleo watokako?
   
 2. k

  kaeso JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha majungu, kwa ishu ya tamasha wameandaa wazawa wa huko, kama Pinda kuhudhuria ni kwa sbb ni mwenzao.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hebu badili hapo kwenye maelezo kuwa Katavi ina tarafa moja. Nitarejea....
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Alikuwepo uwanja wa uhuru jana wakati Kilimanjaro Stars wanafungwa 1-0 na Rwanda, sasa sijui mle uwanjani walikuwemo wana Rukwa na Katavi tu!
   
Loading...