Kinadharia sawa lakini practically haiwezekani kuwatenganisha hasa ukizingatia wanafanyia kazi tanzania ingekuwa nchi za wenzetu sawa.
Waziri hawezi kufanya dili ya mshiko bila katibu kumuhusisha katibu mkuu lakini katibu mkuu anaweza kupiga deal bila waziri
Hapana,anatafutiwa kazi ingine ya kufanya kama adhabu kwa kosa hili.Anaweza kutupwa akawe balozi wetu Nchi za scandinavia.Wanamtafutia wizara nyingine ya kumpa.
Tatizo Rais amelimbikiziwa madaraka mengi sana hadi imekuwa kero yaani kuteua Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na mengine yote hayo anafanya Rais pia kuwafukuza hadi asubiriwe Rais ndio atoe uamuzi huu ni upuuzi mtupu kama sio utumbo
pinda hana makosa. Angekuwa na mamlaka rasmi angekuwa tofauti na sasa. Wakati huu anatumia akili nyingi sana kuziba ishu jambo ambalo anaonekana hapendi. Mnakumbuka ishu ya albino?Yaleyale msingenishikilia angenitambua, Pinda ni msanii wa kimataifa anataka tumuone mchapakazi wakati hana lolote mbona rais akiwepo hatujaona ushauri wake.
Unajua mimi nawashangaa sana watu wanaosema Ngeleja hahusiki wakati yeye ndiye waziri husika wa bajeti hiyo na cheo chake ni cha kisiasa na anataka bajeti yake ipitishwe na wanasiasa wabuge na tunajua toka mapema alivyokuwa anahangaika bajeti ipite tangu enzi za kamati ya January leo mtu atokee aseme hahusiki increadible. Yaani mnataka kutuambia Jairo aanze kugawa pesa ili bajeti ya Ngeleja ipite bila Ngeleja kujua kweli tutakuwa zaidi ya wehu.Naweza ni kakubaliana na wewe kuhusu katibu kupiga dili bila waziri kujua, ila hili la kutoa rushwa ili bajeti ipite inamuhusu waziri moja kwa moja maana waziri huwasilisha mapendekezo yake na katibu huanza kuyashughulikia, na kwakuwa katibu siyo mwanasiasa wala hahusiki kushawishi wabunge wapitishe bajeti kwakujenga hoja bungeni ni dhahiri mwenye dhamani hii ni waziri kwani yeye ndiye mwanasiasa na anajua upepo umekaaji kwa wanasiasa wenzake kuhusiana na bajeti ya wizara yake.
sasa tukiambiwa NGELEJA hajui na sisi tukakubali kuwa ni kweli hajashirikishwa kwenye hii dili tutakuwa ni wehu ama hata zaidi ya wehu. hii ishu niagizo kutoka kwa mkuu wa nchi kuja kwa waziri na waziri kupeleka kwa katibu , nitatoasababu kwanini nimesema niagizo la rais. ni kwakuwa mkuu wa nchi hawezi kubali tena kuweza kuona baraza lake la mawaziri lina tetereka kwakuwa anafahamu hali halisi na hii ndiyo sababu kuu.
pinda hana makosa. Angekuwa na mamlaka rasmi angekuwa tofauti na sasa. Wakati huu anatumia akili nyingi sana kuziba ishu jambo ambalo anaonekana hapendi. Mnakumbuka ishu ya albino?
Naweza ni kakubaliana na wewe kuhusu katibu kupiga dili bila waziri kujua, ila hili la kutoa rushwa ili bajeti ipite inamuhusu waziri moja kwa moja maana waziri huwasilisha mapendekezo yake na katibu huanza kuyashughulikia, na kwakuwa katibu siyo mwanasiasa wala hahusiki kushawishi wabunge wapitishe bajeti kwakujenga hoja bungeni ni dhahiri mwenye dhamani hii ni waziri kwani yeye ndiye mwanasiasa na anajua upepo umekaaji kwa wanasiasa wenzake kuhusiana na bajeti ya wizara yake.
sasa tukiambiwa NGELEJA hajui na sisi tukakubali kuwa ni kweli hajashirikishwa kwenye hii dili tutakuwa ni wehu ama hata zaidi ya wehu. hii ishu niagizo kutoka kwa mkuu wa nchi kuja kwa waziri na waziri kupeleka kwa katibu , nitatoasababu kwanini nimesema niagizo la rais. ni kwakuwa mkuu wa nchi hawezi kubali tena kuweza kuona baraza lake la mawaziri lina tetereka kwakuwa anafahamu hali halisi na hii ndiyo sababu kuu.
Kinadharia sawa lakini practically haiwezekani kuwatenganisha hasa ukizingatia wanafanyia kazi tanzania ingekuwa nchi za wenzetu sawa.
wanataka kulifanya swala hili liwetamu zaidi unajua magamba huwa hawasomi alama za nyakati siku zote hufanya maamuzi too late na huwa inawagharimu sana kisiasa. Ngoja tusubiri hapa wananchelewesha tu maamuzi lakini hakuna namana ya kuokoa chochote na wakifanya vinginevyo lazima ile kwao.
Unajua mimi nawashangaa sana watu wanaosema Ngeleja hahusiki wakati yeye ndiye waziri husika wa bajeti hiyo na cheo chake ni cha kisiasa na anataka bajeti yake ipitishwe na wanasiasa wabuge na tunajua toka mapema alivyokuwa anahangaika bajeti ipite tangu enzi za kamati ya January leo mtu atokee aseme hahusiki increadible. Yaani mnataka kutuambia Jairo aanze kugawa pesa ili bajeti ya Ngeleja ipite bila Ngeleja kujua kweli tutakuwa zaidi ya wehu.
waziri mkuu, mizengo pinda ana siri nzito kuhusu hatima ya katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini david jairo baada ya jana kusema kuwa rais jakaya kikwete amempa maelekezo mapya kuhusu suala hilo.
Pinda alisema hayo, baada ya gazeti hili kumtaka aeleze hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa dhidi ya katibu mkuu huyo aliyetuhumiwa juzi bungeni kuwa aliziagiza zaidi ya taasisi 20 kuchanga sh50milioni kila moja kwa ajili ya kufanikisha kupitishwa kwa bajeti ya wizara yake.
"suala hilo bado tunalifanyia kazi," alisema pinda alipotakiwa kueleza maagizo aliyopewa na rais baada ya kuwasiliana naye juzi na jana. "ndio niliwasiliana naye lakini, ametoa maelekezo mapya kuhusu suala hilo ambayo tunalazimika kuyafanyia kazi kwanza."
akizungumzia suala hilo la jairo bungeni juzi, pinda alisema: "kwa jinsi jambo hili lilivyokaa, hakuna jinsi mtu unavyoweza kulitetea hata kidogo, nilitamani sana kwamba nije hapa niseme kwamba uamuzi wangu mimi ni huu, lakini haikuwezekana.
Kwa dhati kabisa naomba wabunge tuwe na subira, mara tu mheshimiwa rais atakapotua south africa (afrika kusini) jioni ya leo (juzi), nitamwarifu na ninaamini tutaelewana kuhusu hatua za kuchukua.
"tuhuma za rushwa katika wizara ya nishati na madini ziliibuliwa juzi na mbunge wa kilindi (ccm), beatrice shellukindo alipokuwa akichangia makadirio ya wizara ya nishati na madini bungeni juzi.
Shellukindo alisema, jairo aliziandikia barua idara na taasisi hizo akiziagiza ziweke fedha hizo kwenye akaunti namba 5051000068 inayomilikiwa na geological survey of tanzania (gst) kwenye benki ya nmb, tawi la dodoma.
"tena inaagiza kwamba fedha hizo zikishatumwa kwenye akaunti hiyo, wizara ipewe taarifa kupitia ofisi ya dp kwa ajili ya utaratibu," alisema shellukindo akiinukuu barua hiyo.
Nakubaliana na wewe kabisa . Nilichojaribi kumueleza jamaa scenario tofauti inawezekanaje kutokea hivyo na nimeandika jinsi dili lolote waizri akitaka kufanya lazima amshirikishe PS hata kama PS hausiki lazima PS aandike kwa maelekezo ya Waziri au mamlaka .
Sababu hata correspondent zote za wizara zinakuwa na dress ya katibu mkuu.
Na kwa kuwa pesa zinaagizwa zielekezwe Dodoma simple laymen forensic inanyesha kazi yake ilikuwa ni ya "kisiasa"
Je
So nakubaliana na wanaosema Hirearchy nzima ya hiyo wizara ilitakiwa kukaa pmebeni kabla hata Pinda hajasema maamuzi yoyote.
- Ni bwana Jairo( Mtedaji) ndio aliwashaurii Bwana Ngelejana bwana Malima kuwa hiyo ndio best way ya kupitisha bajeti na kina ngeleja akakubali?
- Au ni bwana Ngeleja na malima ndio walimwagiza bwana Jairo awezehe huo mpango haramu na Bwana jairo akatelekeleza. Pia bwan Jairo hawezi kuchomoka .atakuwa na kosa alitakiwa kuwa mshauri na kuwaambia Hii sio matumizi bra ya pesa za umma.