Pinda na umiliki wa Sumry Express

Status
Not open for further replies.
Kama udaku vile!
 
Inawezekana ikawa kweli, lakini ungesema umeyasikia wapi mkuu?
 
Pinda naye ni big time fisadi tu,watu wanamshadidia EL wakati Pinda naye amekazana ku-accumulate wealth na ardhi kila mahali.Huko kigamboni ana ardhi kubwa kajitwalia,pia na njia ya kwenda kisarawe ana ardhi kubwa,vyote kavipata baada ya kuukwaa uPM
 
kwa kumbukumbu zangu nilipofika Sumbawanga kwa mara ya kwanza mwaka 2007 niliuliza nikaambiwa ni mali ya mbunge wa chadema wa Rukwa, sikumbuki jina lake. na magari haya yamekuwepo hata kabla ya Pinda kuwa PM. Kama upo ushahidi ebu tueleze
 
Tumekushtukia wewe umetumwa na EL. Unadhani unaweza kumsafisha EL kumtumia Pinda? Umekosea sana Mkuu. Unafanya kazi ambayo matokeo yake ni kinyume cha matarajio yako. Badala ya kumsafisha EL kutumia Pinda, ndio unazidi kumchafua. Wana JF embu tumlinganishe Pinda na EL kwenye suala la Utajiri wa halali. Niwazi majibu mnayo wenyewe. Pole sana vibaraka vya huyo aliekutuma
 
Kuwa kiongozi maana yake sio kuwa maskini. Kiongozi hatutaki awe fisadi na asitumie madaraka yake kujinufaisha, lakini sio kumzuia kuwa tajiri hasa mali zake akizipata kihalali. Isitoshe kiongozi akiwa masikini sana hataweza kutekeleza majukumu yake vizuri.

Hili jamvi msiliharibie sifa zake na kuwa kijiwe cha uzushi na udaku wa kuchafua viongozi wa chama cho chote aidha tawala au pinzani.
 
Pinda naye ni big time fisadi tu,watu wanamshadidia EL wakati Pinda naye amekazana ku-accumulate wealth na ardhi kila mahali.Huko kigamboni ana ardhi kubwa kajitwalia,pia na njia ya kwenda kisarawe ana ardhi kubwa,vyote kavipata baada ya kuukwaa uPM

Kama kuna mtu ameporwa ardhi na Pinda litakuwa swala jingine lakini Tanzania kuna mamilioni ya hekari za ardhi ambazo zinafaa kuendelezwa na hazimilikiwi na mtu, nguvu yako tu.
 
Ndugu yangu Mangi lini fitina umejifunza? Wewe fanya biashara zako Siasa huwezi Baqba wa Taifa alitaja makabila ma3 ambayo hayawezi tawala
Kusema Pinda hata jamaa yake asiweke ni Chama gani hawajaweka jamaa zao kuongeza uaminifu iwe jeshini, TRA hata. Dukani au gengeni kwako
 
MODs hii thread ingewekewa TETESI, haya ndio yale ya kurusha jiwe kichakani atakaelia unajua limempata!

There are currently 215 users browsing this thread. (72 members and 143 guests)
Wabongo kwa kupenda tetesi!
 
Kale Kazee hakawezi kuwa na mali ya kifisadi Ni mwanafunzi mzuri sana wa late Jk, labda awe amejifunza kwa Gvment hii.
 

Mkuu EL anaingiaje hapa?? Na asafishwe kwa lipi ali
 

...mkubwa...mchungaji na kiongozi wa DP(ambae uchungu wake kwa motherland hauna shaka hata chembe) katupa somo la kutosha juu ya tuhuma bila ushahidi kwa wakubwa.. akituambia (na tukimuamini) miaka ile, kuwa mla rushwa mkubwa na nambari moja ni waziri wetu mkuu sumaye...lkn mda baadae kasaliti tuhuma na kuanza ngonjera zingine. sasa leo tutakuamini vp? kisha mbeleni ukileta tulizoletewa na mchungaji? leta ushahidi au acha porojomajungu...hii ni nmna mojawapo ya kupunguza umaana na kutia doa vita dhidi ya mafisadi, tuhuma bila ushaidi...
 
Hivi Franktemu123 siku hizi umeacha kujipanga pale sinza Corner bar na wale wadada wenzio wakati wewe ni dume??? umehamia katika siasa? biashara ilikua haikulipi????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…