Pinda na Joshua Nassari, toa maoni

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
IMG_9083.JPG
 
hongera kwa ushindi..... CCM tulijitahidi sana kukuibia kura zako lakini wapi!!!!! chama chako kilijipanga vizuri sana kulinda kura.....hatukuwa na jinsi.....ilibidi tu utangazwe mshindi.....kwani sisi ushindi wetu unategemea sana wizi wa kura...hatuna mvuto kwa jamii.
 
kijana usiwe unauliza maswali yanayohitaji kutoa data mimi nishazeeka hivyo ubongo wangu hatunzi kumbukumbu vizuri umesikia??
 
Mzee siku zako na chama chako zinahesabika...fupisha maenda hudhuria kikao cha cdm tumepania kuchukua nchi...
 
Alafu we Mzee nakumaindi,,,,Hapa unanipotezea muda tuu. Siku zako zimefika...
 
kijana unaonekana mtata zaidi ya tundulisu,
tafathar uwe na simile katika baadhi ya mambo, hii inchi haitakiwi uwe na hasira, afu we bado dogoras
 
Pinda anasema " kwa kweli kijana, naona ni wakati muafaka wa mimi kuhamia kwenye chama chenu, manake huku kuna dalili zote za kufukuzwa au kupigwa risasi, mawaziri wangu wote wezi, ila wanalindwa na ba mwanaasha"
 
''Kijana hii suti kama yetu vile.........hebu kaivue uvae zile zenu''

Sikudanganyi Kijana; by the time unafikia umri wangu kama utaukuwa bado umekomoa na siasa za kutetea maslahi ya wananchi sura yako iatakuwa handsome kuliko yangu!
 
Mwanangu amani inapatikana bila solaha we unadhani hata mimi ccm naikubali sema tu kwavile ndo ninapopata hapo kula yangu
 
Anamwambia, wasamehe wote waliokukosea hasa Lusinde aliyetukana makamanda waliokufikisha hapa
 
''chonde chonde chonde!!mwanangu naomba ukawatulize wale wananchi wako wasivamie mashamba ya wawekezaji kwa sababu swala lao liko kwenye mchakato!na kwa kweli ukisema kila mwananchi tumpe kipande cha ardhi serikali itabidi inunue ardhi kutoka nje kitu ambacho ni sawa na haiwezekani kwa sasa,ni lazima tuanze kujenga uwezo wa ndani"
 
Back
Top Bottom