Pinda, membe wapanga kumuhujumu lowassa

Pinda, membe wapanga kumuhujumu lowassa

Amepiga dili gani mkuu lete ushahidi mwenzio nape alisema edo fisadi kaiba pesa za uvccm leo tunaona gorofa la ccm lililopolomoshwa pale ng'ambo ya lumumba na nape kapewa ofisi ndani fitna zote kwisha.acha kuendeshwa na magazeti mkuu

We unaendeshwa kwa kuendekeza njaa,Jf ndio sehemu ya kuleta ushahidi?Ipo thread moja ililetwa na GT mmoja kuonyesha ushahidi WA hayo niliyoyaandika,bado Kuna majinga mengine ka wewe yakataka ushahidi.Mijitu ya sampuli kama yako ndio inayochelewesha maendeleo na ustawi WA nchi yetu.People need changes.Acheni kuendekeza njaa
 
Amepiga dili gani mkuu lete ushahidi mwenzio nape alisema edo fisadi kaiba pesa za uvccm leo tunaona gorofa la ccm lililopolomoshwa pale ng'ambo ya lumumba na nape kapewa ofisi ndani fitna zote kwisha.acha kuendeshwa na magazeti mkuu

Kama hukua mmoja wapo,basi huna tofauti na wale walioandamana eti kwenda kumshawishi El agombee urais.Mitanzania mingine ni tatizo saana yaani
 
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

Pinda na Membe wamepandwa na hasira zaidi mara baada ya kuona wananchi wa kada na rika tofauti wakienda nyumbani kwa Lowassa maeneo ya Area D, Dodoma na kumuomba atangaze nia na kisha achukue fomu ya kugombea urais.

Wale watu mbalimbali ambao wameshiriki kwenda kumuomba wameanza kuandamwa na kambi ya Membe na kambi ya Pinda kwa kuanza kuwarubuni kwa kuwapa rushwa waitishe vyombo vya habari na wapindishe uhalisia wa tukio.

Watu hao wanapewa pesa ili waseme kuwa Lowassa amewapa pesa, chakula, malazi na usafiri wa kwenda pale na wala hayakuwa malengo yao na wamefuata pesa tu.

Wanaorubuniwa kwenda kusema maneno ya ovyo ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, masheikh pamoja na wachungaji ambao asilimia kubwa wamegoma kwenda kuisaliti mioyo yao kwa kusema uongo tofauti na uhalisia ulivyo.

Mathalani upande wa vyuoni, Vijana waliopewa kazi ya kuhakikisha hili swala linatekelezwa Ni Mwenyekiti Wa UVCCM wilaya ya Katavi(Jina linahifadhiwa).

Wanafunzi walioahidiwa kupewa fedha ili wafanye harakati hizo chafu Ni Rutagibwa, ikumbukwe Rutagibwa Ni miongoni mwa baadhi ya wafuasi Wa Membe ambao wamebaki watiifu Kwa Membe baada ya kutengenezewa trip ya kwenda China kati ya marais 25 waliopewa bongo hiyo ya safari
kimkakati ili kuwekeza ushawishi vyuoni kutoka UDOM.

Wengine ni Rais Wa Chuo cha Madini Bwana Magesa F. Magesa. Na Rais Wa chuo cha St. John. Hawa ndio wa Ratiba Wa mkakati pale Udom dhidi ya siasa chafu ya kikachero na kuhonga wanafunzi fedha ili waandamane kupinga ushawishi juu ya Nguvu ya EDO chuoni.

Ili kukamilisha mkakati wao hawa makachero wanaoibuikia wamejipanga Kwa mbinu zifuatazo:-

1. Upo ushahidi Wa baadhi ya viongozi Wa serikali za wanafunzi kupigiwa simu na kuobwa wakanushe taarifa zao kwenye hadhara. Kwamba kuandamana kwao kwenda Kwa EDO walishinikizwa. Japo viongozi hao hakuna aliekubali hadi sasa.

2. Wako baadhi ya wanafunzi wanaoaminika kuwa Ni kwenye ushawishi wamepigiwa simu wakiombwa wataje dau ili wasaliti kambi ya EDO hata hivyo namna aliekubali hadi sasa.

Wako baadhi ya wanafunzi wameitwa kwenye vikao vya kikachero na kujadili na kupanga bajeti itakayo kizi kuwezesha kupata usafiri yaani kukodi magari na posho za wanafunzi ili wakusanywe mahala na wafanye maandamano ili kupinga kile ambacho watanzania wote tulishuhudia wanafunzi waliminika Kwa EDo kushauli atanhaze nia.

Pia wako wanafunzi walithubutu kuonesha misimamo yao kufa pamoja na EDO wametishiwa kufanya vibaya licha ya kuwa haijawekwa wazi Mpango wao je, Ni kuwateka au la?

Kuna ujumbe umenaswa ukienda kwa Mwenyekiti wa wanazuoni ili awasiliane na Mwenyekiti wa UVCCM katavi ampeleke kwa Mh. Pinda.

Mwenyekiti huyo ameambiwa endapo atakubali kufanya mchezo huu mchafu wa kuigiza kuwa wanampinga Lowassa wamehaidiwa kupewa kiasi cha Tsh. Milioni 50 za uratibu na kumaliziwa kiasi cha Tsh. milioni 30 za ahsante.

Wakati watu wakifa mahospitalini kwa kukosa madawa wao akina Membe na Pinda wanateketeza mamilioni ya shilingi kwa ajili ya upuuzi tu.

Hizo fedha kwanini hawazitoi kwa ajili ya mapambano dhidi ya mauaji ya maalbino, ama kusaidia wahanga wa mafuriko kama walivyojitokeza Mbowe na Lowassa kuwasaidia wahanga wa Mwakata Kahama?

Mpaka sasa watu wamegoma kufanya hivyo na wamepandishiwa dau na endapo watagoma tena basi wameambiwa watafanyiwa kitu mbaya.

sasa unapinga kama hawajapewa hela na LOWASA? wale wa mbalali na wengine walilipwa shs150,000/-
 
Amepiga dili gani mkuu lete ushahidi mwenzio nape alisema edo fisadi kaiba pesa za uvccm leo tunaona gorofa la ccm lililopolomoshwa pale ng'ambo ya lumumba na nape kapewa ofisi ndani fitna zote kwisha.acha kuendeshwa na magazeti mkuu
Kamnunulia mwanae Nyumba uingereza.Tunataka hiyo nyumba iuzwe pesa irudi serikalini.
 
Ni wewe peke yako haujui Madhambi ya Membe wengine wote wanayajua, Membe aliiba mapesa ya Marehemu Gadafi kisha akamuua balozi wa Libya kimmafia ili kuficha ushahidi, Membe ni Fisadi mkubwa lile fungu la pesa kwa Ajili ya wageni wa kimataifa hupiga pesa, hata Ununuzi wa Nyumba za balozi huko ulaya hapata 10% kila nyumba iliyonunuliwa na Tz , Membe sasa anatumia pesa nyingi kutengeneza na kusambaza video zenye Sauti ya Nyerere zikiwa na picha ya Lowasa.

Kweli kabisa yaelekea Membe aogopa kufuatiliwa baada ya uchaguzi.
 
Ni wewe peke yako haujui Madhambi ya Membe wengine wote wanayajua, Membe aliiba mapesa ya Marehemu Gadafi kisha akamuua balozi wa Libya kimmafia ili kuficha ushahidi, Membe ni Fisadi mkubwa lile fungu la pesa kwa Ajili ya wageni wa kimataifa hupiga pesa, hata Ununuzi wa Nyumba za balozi huko ulaya hapata 10% kila nyumba iliyonunuliwa na Tz , Membe sasa anatumia pesa nyingi kutengeneza na kusambaza video zenye Sauti ya Nyerere zikiwa na picha ya Lowasa.

Sio peke yake. Hata mimi sijui.
 
Hawamuwezi huyu ona Nape akiomba msamaha baada ya maneno yake uchwara ya kusitisha kupokea wagenimshawishi.
IMG_0758.JPG
 
mbona sisi wajumbe wa mkutano mkuu mwaka jana tulipewa kila mmoja laki tano tulizoambiwa ni kutoka kwa Lowasa.Kwa hiyo tuseme na hili anasingiziwa.hivi unawezaje ukawahonga mamia ya watu halafu utegemee itakuwa siri.
ni sisi wa kutoka Kigoma.Pia tuliwasiliana na wenzetu wa mikoa mingine nao walisema walipewa kiasi hicho hicho kutoka kwa Eddo.
 
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

Pinda na Membe wamepandwa na hasira zaidi mara baada ya kuona wananchi wa kada na rika tofauti wakienda nyumbani kwa Lowassa maeneo ya Area D, Dodoma na kumuomba atangaze nia na kisha achukue fomu ya kugombea urais.

Wale watu mbalimbali ambao wameshiriki kwenda kumuomba wameanza kuandamwa na kambi ya Membe na kambi ya Pinda kwa kuanza kuwarubuni kwa kuwapa rushwa waitishe vyombo vya habari na wapindishe uhalisia wa tukio.

Watu hao wanapewa pesa ili waseme kuwa Lowassa amewapa pesa, chakula, malazi na usafiri wa kwenda pale na wala hayakuwa malengo yao na wamefuata pesa tu.

Wanaorubuniwa kwenda kusema maneno ya ovyo ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, masheikh pamoja na wachungaji ambao asilimia kubwa wamegoma kwenda kuisaliti mioyo yao kwa kusema uongo tofauti na uhalisia ulivyo.

Mathalani upande wa vyuoni, Vijana waliopewa kazi ya kuhakikisha hili swala linatekelezwa Ni Mwenyekiti Wa UVCCM wilaya ya Katavi(Jina linahifadhiwa).

Wanafunzi walioahidiwa kupewa fedha ili wafanye harakati hizo chafu Ni Rutagibwa, ikumbukwe Rutagibwa Ni miongoni mwa baadhi ya wafuasi Wa Membe ambao wamebaki watiifu Kwa Membe baada ya kutengenezewa trip ya kwenda China kati ya marais 25 waliopewa bongo hiyo ya safari
kimkakati ili kuwekeza ushawishi vyuoni kutoka UDOM.

Wengine ni Rais Wa Chuo cha Madini Bwana Magesa F. Magesa. Na Rais Wa chuo cha St. John. Hawa ndio wa Ratiba Wa mkakati pale Udom dhidi ya siasa chafu ya kikachero na kuhonga wanafunzi fedha ili waandamane kupinga ushawishi juu ya Nguvu ya EDO chuoni.

Ili kukamilisha mkakati wao hawa makachero wanaoibuikia wamejipanga Kwa mbinu zifuatazo:-

1. Upo ushahidi Wa baadhi ya viongozi Wa serikali za wanafunzi kupigiwa simu na kuobwa wakanushe taarifa zao kwenye hadhara. Kwamba kuandamana kwao kwenda Kwa EDO walishinikizwa. Japo viongozi hao hakuna aliekubali hadi sasa.

2. Wako baadhi ya wanafunzi wanaoaminika kuwa Ni kwenye ushawishi wamepigiwa simu wakiombwa wataje dau ili wasaliti kambi ya EDO hata hivyo namna aliekubali hadi sasa.

Wako baadhi ya wanafunzi wameitwa kwenye vikao vya kikachero na kujadili na kupanga bajeti itakayo kizi kuwezesha kupata usafiri yaani kukodi magari na posho za wanafunzi ili wakusanywe mahala na wafanye maandamano ili kupinga kile ambacho watanzania wote tulishuhudia wanafunzi waliminika Kwa EDo kushauli atanhaze nia.

Pia wako wanafunzi walithubutu kuonesha misimamo yao kufa pamoja na EDO wametishiwa kufanya vibaya licha ya kuwa haijawekwa wazi Mpango wao je, Ni kuwateka au la?

Kuna ujumbe umenaswa ukienda kwa Mwenyekiti wa wanazuoni ili awasiliane na Mwenyekiti wa UVCCM katavi ampeleke kwa Mh. Pinda.

Mwenyekiti huyo ameambiwa endapo atakubali kufanya mchezo huu mchafu wa kuigiza kuwa wanampinga Lowassa wamehaidiwa kupewa kiasi cha Tsh. Milioni 50 za uratibu na kumaliziwa kiasi cha Tsh. milioni 30 za ahsante.

Wakati watu wakifa mahospitalini kwa kukosa madawa wao akina Membe na Pinda wanateketeza mamilioni ya shilingi kwa ajili ya upuuzi tu.

Hizo fedha kwanini hawazitoi kwa ajili ya mapambano dhidi ya mauaji ya maalbino, ama kusaidia wahanga wa mafuriko kama walivyojitokeza Mbowe na Lowassa kuwasaidia wahanga wa Mwakata Kahama?

Mpaka sasa watu wamegoma kufanya hivyo na wamepandishiwa dau na endapo watagoma tena basi wameambiwa watafanyiwa kitu mbaya.

Hawa watu wanapesa na wamejipanga pinda kapush farm kwa $10 membe inaeleweka pesa zake tena team yake imepata ajali huko ifakara na team take kujeruika.
 
Pinda alikuwa msafi na angefaa sana kuendesha nchi hii ila naye sasa kuna siri nzito kati yake na VIATEL.
 
Yaani kama zile enzi za boxing matches kubwa za akina Mike Tyson, Frank Bruno, Bruce Seldon, Hollyfield, McNilly etc. Zilikuwa zinatanguliwa na vipambano vidogovidogo. Wakati mwingine ni vya mademu kama akina Laila Ali na Christy. Na ni hivyo hivyo kwenye kinyang'anyilo chetu cha Urais sasa. Wapambe mnatoana nnya kwanza kabla wenyewe hawajanyonyoana manyoya October.

My take:
Watu wengi wameshindwa maisha au kusimama kwa miguu yao miwili. Wameamua kupambana, ikibidi wafie migongoni mwa wagombea/mabwana wao. Kama ni vijana, hii inasikitisha.
Wacha movie la Kihindi liendelee.
 
mleta mada ungekua mke wangu ningekuacha mara 1 mda wa kunipikia na kunipa papuchi huna kucha wewe na Edo fisadi uyu
 
Hawamuwezi huyu ona Nape akiomba msamaha baada ya maneno yake uchwara ya kusitisha kupokea wagenimshawishi.
IMG_0758.JPG

Nape yupo after money kwa sasa ni Mtumishi wa Membe na January Makamba anawatumikia anatekeleza matakwa yao, lakini moyoni anamkubali lowasa kiaina, ujue pia Nape ni Kigeugeu siku Lowasa akitangazwa kuwa mgombea Rasmi ni siku Hiyo Hiyo Nape atawageuka Membe na January kwa sasa ngoja aendelee kula pesa za Marehemu Gadafi toka kwa Membe na za Rostam Azizi kutoka kwa January.
 
Hakuna anayemhujumu fisadi mkubwa Lowassa, anajihujumu mwenyewe!!!
 
Unasema Lowasa anachafuliwa. Lini alikuwa msafi? Tafuteni na misamiati ya kutumia mnapotaka watu wasione uchafu wa mtu aliyemchafu tayari.

Hata hivyo usisumbuke. Si Membe, Si Pinda, Si yeyote wa ccm atapata urasi tena Tanzania. Malumuni kikwete kwa kuwaua. Sana sana sisi tunafurahia burudani mnayotupa kwa maigizo na sanaa zenu mnazocheza kwa kuhitimisha uwepo wa chama chenu, Mara show Lowasa, Mara huyo Pinda mara Membe, mara Wasira mara Sita mara Makamba na kitabu, mara anaibuka Nape na Kinana na mwendo wa fisi.., ili mradi ni burudani.

Kwa heri ccm.

Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

Pinda na Membe wamepandwa na hasira zaidi mara baada ya kuona wananchi wa kada na rika tofauti wakienda nyumbani kwa Lowassa maeneo ya Area D, Dodoma na kumuomba atangaze nia na kisha achukue fomu ya kugombea urais.

Wale watu mbalimbali ambao wameshiriki kwenda kumuomba wameanza kuandamwa na kambi ya Membe na kambi ya Pinda kwa kuanza kuwarubuni kwa kuwapa rushwa waitishe vyombo vya habari na wapindishe uhalisia wa tukio.

Watu hao wanapewa pesa ili waseme kuwa Lowassa amewapa pesa, chakula, malazi na usafiri wa kwenda pale na wala hayakuwa malengo yao na wamefuata pesa tu.

Wanaorubuniwa kwenda kusema maneno ya ovyo ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, masheikh pamoja na wachungaji ambao asilimia kubwa wamegoma kwenda kuisaliti mioyo yao kwa kusema uongo tofauti na uhalisia ulivyo.

Mathalani upande wa vyuoni, Vijana waliopewa kazi ya kuhakikisha hili swala linatekelezwa Ni Mwenyekiti Wa UVCCM wilaya ya Katavi(Jina linahifadhiwa).

Wanafunzi walioahidiwa kupewa fedha ili wafanye harakati hizo chafu Ni Rutagibwa, ikumbukwe Rutagibwa Ni miongoni mwa baadhi ya wafuasi Wa Membe ambao wamebaki watiifu Kwa Membe baada ya kutengenezewa trip ya kwenda China kati ya marais 25 waliopewa bongo hiyo ya safari
kimkakati ili kuwekeza ushawishi vyuoni kutoka UDOM.

Wengine ni Rais Wa Chuo cha Madini Bwana Magesa F. Magesa. Na Rais Wa chuo cha St. John. Hawa ndio wa Ratiba Wa mkakati pale Udom dhidi ya siasa chafu ya kikachero na kuhonga wanafunzi fedha ili waandamane kupinga ushawishi juu ya Nguvu ya EDO chuoni.

Ili kukamilisha mkakati wao hawa makachero wanaoibuikia wamejipanga Kwa mbinu zifuatazo:-

1. Upo ushahidi Wa baadhi ya viongozi Wa serikali za wanafunzi kupigiwa simu na kuobwa wakanushe taarifa zao kwenye hadhara. Kwamba kuandamana kwao kwenda Kwa EDO walishinikizwa. Japo viongozi hao hakuna aliekubali hadi sasa.

2. Wako baadhi ya wanafunzi wanaoaminika kuwa Ni kwenye ushawishi wamepigiwa simu wakiombwa wataje dau ili wasaliti kambi ya EDO hata hivyo namna aliekubali hadi sasa.

Wako baadhi ya wanafunzi wameitwa kwenye vikao vya kikachero na kujadili na kupanga bajeti itakayo kizi kuwezesha kupata usafiri yaani kukodi magari na posho za wanafunzi ili wakusanywe mahala na wafanye maandamano ili kupinga kile ambacho watanzania wote tulishuhudia wanafunzi waliminika Kwa EDo kushauli atanhaze nia.

Pia wako wanafunzi walithubutu kuonesha misimamo yao kufa pamoja na EDO wametishiwa kufanya vibaya licha ya kuwa haijawekwa wazi Mpango wao je, Ni kuwateka au la?

Kuna ujumbe umenaswa ukienda kwa Mwenyekiti wa wanazuoni ili awasiliane na Mwenyekiti wa UVCCM katavi ampeleke kwa Mh. Pinda.

Mwenyekiti huyo ameambiwa endapo atakubali kufanya mchezo huu mchafu wa kuigiza kuwa wanampinga Lowassa wamehaidiwa kupewa kiasi cha Tsh. Milioni 50 za uratibu na kumaliziwa kiasi cha Tsh. milioni 30 za ahsante.

Wakati watu wakifa mahospitalini kwa kukosa madawa wao akina Membe na Pinda wanateketeza mamilioni ya shilingi kwa ajili ya upuuzi tu.

Hizo fedha kwanini hawazitoi kwa ajili ya mapambano dhidi ya mauaji ya maalbino, ama kusaidia wahanga wa mafuriko kama walivyojitokeza Mbowe na Lowassa kuwasaidia wahanga wa Mwakata Kahama?

Mpaka sasa watu wamegoma kufanya hivyo na wamepandishiwa dau na endapo watagoma tena basi wameambiwa watafanyiwa kitu mbaya.
 
Nape yupo after money kwa sasa ni Mtumishi wa Membe na January Makamba anawatumikia anatekeleza matakwa yao, lakini moyoni anamkubali lowasa kiaina, ujue pia Nape ni Kigeugeu siku Lowasa akitangazwa kuwa mgombea Rasmi ni siku Hiyo Hiyo Nape atawageuka Membe na January kwa sasa ngoja aendelee kula pesa za Marehemu Gadafi toka kwa Membe na za Rostam Azizi kutoka kwa January.

Kajamaa kanajua kuchezesha maneno kama yule aliyekuwa anaamasisha vita kati ya Bush na Saddam Tariq Aziz.
 
Back
Top Bottom