Pinda, membe wapanga kumuhujumu lowassa

Pinda, membe wapanga kumuhujumu lowassa

Tanzania hakuna Kiongozi aliye msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole, ufisadi Tz ni kama sifa, watu wanapiga kuanzia pesa za kanisa kama Slaa, na Ruzuku za vyama, pesa za bajeti huko kwenye Mawizara, yaani huku Tz ni full ufisadi kila sekta, Viongozi wengi wanaishi maisha kinyume na mishahara yao, siku ikitokea Rais jasiri aamue kuwaleta FBI wawachunguze Viongozi wa Tz mmoja baada ya Mwingine nina imani wote watapelekwa segerea moja kwa moja, Mfumo wetu umejaa mianya mingi ya kufanikisha wizi.

Tunaomba ushaidi wa izo pesa za kanisa alizokula slaa na kama hauna kaa kimya milele
 
Ni wewe peke yako haujui Madhambi ya Membe wengine wote wanayajua, Membe aliiba mapesa ya Marehemu Gadafi kisha akamuua balozi wa Libya kimmafia ili kuficha ushahidi, Membe ni Fisadi mkubwa lile fungu la pesa kwa Ajili ya wageni wa kimataifa hupiga pesa, hata Ununuzi wa Nyumba za balozi huko ulaya hapata 10% kila nyumba iliyonunuliwa na Tz , Membe sasa anatumia pesa nyingi kutengeneza na kusambaza video zenye Sauti ya Nyerere zikiwa na picha ya Lowasa.[/QU

wivu kitu kibya sana! we kweli ni mimyoo ,unadepend kwenye hearsay!

Tanzania hakuna Kiongozi aliye msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole, ufisadi Tz ni kama sifa, watu wanapiga kuanzia pesa za kanisa kama Slaa, na Ruzuku za vyama, pesa za bajeti huko kwenye Mawizara, yaani huku Tz ni full ufisadi kila sekta, Viongozi wengi wanaishi maisha kinyume na mishahara yao, siku ikitokea Rais jasiri aamue kuwaleta FBI wawachunguze Viongozi wa Tz mmoja baada ya Mwingine nina imani wote watapelekwa segerea moja kwa moja, Mfumo wetu umejaa mianya mingi ya kufanikisha wizi.

kosa la kisarufi kulazimisha kuweka kiambishi mahali ambapo hapahusiki,ni safi na sio msafi,ni dalili yahata content imebeba uongo,hujaleta viambatanisho vya tuhuma zako! shame on you!

Back
Top Bottom