Pinda, membe wapanga kumuhujumu lowassa

Pinda, membe wapanga kumuhujumu lowassa

Joined
Feb 27, 2015
Posts
35
Reaction score
35
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

Pinda na Membe wamepandwa na hasira zaidi mara baada ya kuona wananchi wa kada na rika tofauti wakienda nyumbani kwa Lowassa maeneo ya Area D, Dodoma na kumuomba atangaze nia na kisha achukue fomu ya kugombea urais.

Wale watu mbalimbali ambao wameshiriki kwenda kumuomba wameanza kuandamwa na kambi ya Membe na kambi ya Pinda kwa kuanza kuwarubuni kwa kuwapa rushwa waitishe vyombo vya habari na wapindishe uhalisia wa tukio.

Watu hao wanapewa pesa ili waseme kuwa Lowassa amewapa pesa, chakula, malazi na usafiri wa kwenda pale na wala hayakuwa malengo yao na wamefuata pesa tu.

Wanaorubuniwa kwenda kusema maneno ya ovyo ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, masheikh pamoja na wachungaji ambao asilimia kubwa wamegoma kwenda kuisaliti mioyo yao kwa kusema uongo tofauti na uhalisia ulivyo.

Mathalani upande wa vyuoni, Vijana waliopewa kazi ya kuhakikisha hili swala linatekelezwa Ni Mwenyekiti Wa UVCCM wilaya ya Katavi(Jina linahifadhiwa).

Wanafunzi walioahidiwa kupewa fedha ili wafanye harakati hizo chafu Ni Rutagibwa, ikumbukwe Rutagibwa Ni miongoni mwa baadhi ya wafuasi Wa Membe ambao wamebaki watiifu Kwa Membe baada ya kutengenezewa trip ya kwenda China kati ya marais 25 waliopewa bongo hiyo ya safari
kimkakati ili kuwekeza ushawishi vyuoni kutoka UDOM.

Wengine ni Rais Wa Chuo cha Madini Bwana Magesa F. Magesa. Na Rais Wa chuo cha St. John. Hawa ndio wa Ratiba Wa mkakati pale Udom dhidi ya siasa chafu ya kikachero na kuhonga wanafunzi fedha ili waandamane kupinga ushawishi juu ya Nguvu ya EDO chuoni.

Ili kukamilisha mkakati wao hawa makachero wanaoibuikia wamejipanga Kwa mbinu zifuatazo:-

1. Upo ushahidi Wa baadhi ya viongozi Wa serikali za wanafunzi kupigiwa simu na kuobwa wakanushe taarifa zao kwenye hadhara. Kwamba kuandamana kwao kwenda Kwa EDO walishinikizwa. Japo viongozi hao hakuna aliekubali hadi sasa.

2. Wako baadhi ya wanafunzi wanaoaminika kuwa Ni kwenye ushawishi wamepigiwa simu wakiombwa wataje dau ili wasaliti kambi ya EDO hata hivyo namna aliekubali hadi sasa.

Wako baadhi ya wanafunzi wameitwa kwenye vikao vya kikachero na kujadili na kupanga bajeti itakayo kizi kuwezesha kupata usafiri yaani kukodi magari na posho za wanafunzi ili wakusanywe mahala na wafanye maandamano ili kupinga kile ambacho watanzania wote tulishuhudia wanafunzi waliminika Kwa EDo kushauli atanhaze nia.

Pia wako wanafunzi walithubutu kuonesha misimamo yao kufa pamoja na EDO wametishiwa kufanya vibaya licha ya kuwa haijawekwa wazi Mpango wao je, Ni kuwateka au la?

Kuna ujumbe umenaswa ukienda kwa Mwenyekiti wa wanazuoni ili awasiliane na Mwenyekiti wa UVCCM katavi ampeleke kwa Mh. Pinda.

Mwenyekiti huyo ameambiwa endapo atakubali kufanya mchezo huu mchafu wa kuigiza kuwa wanampinga Lowassa wamehaidiwa kupewa kiasi cha Tsh. Milioni 50 za uratibu na kumaliziwa kiasi cha Tsh. milioni 30 za ahsante.

Wakati watu wakifa mahospitalini kwa kukosa madawa wao akina Membe na Pinda wanateketeza mamilioni ya shilingi kwa ajili ya upuuzi tu.

Hizo fedha kwanini hawazitoi kwa ajili ya mapambano dhidi ya mauaji ya maalbino, ama kusaidia wahanga wa mafuriko kama walivyojitokeza Mbowe na Lowassa kuwasaidia wahanga wa Mwakata Kahama?

Mpaka sasa watu wamegoma kufanya hivyo na wamepandishiwa dau na endapo watagoma tena basi wameambiwa watafanyiwa kitu mbaya.
 
Ungeweka ushahidi wa hayo uliyoyandika ingekuwa vizuri zaidi maana ungeondoa mashaka ya kuwa hayo uliyoandika ni hisia tu. Fanya kuleta ushahidi ili tuamini hii taarifa yako.
 
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.
.

Hivi...unamchafuaje mtu ambaye tayari ni mchafu kupindukia!? Au mnataka kutuaminisha kuwa waTanzania tuna memory fupi ka za mende hatukumbuki miongo na miongo ya uchafu wa Lowassa!?
 
Umenena vizuri, Lowasa tayari ni mchafu, sasa achafuliwe tena kwa lipi? RICHMOND!!! Kashfa za membe wengi hatuzijui, ingawaje naye ni sampuli ya kikwete, atakuwa humble kwa wezi tu. Ccm hakuna mtu msafi
 
Watanzania mbona tunaanza kupigiana madebe km vile tupo ndani ya Kamati Kuu ya CCM? (CC) ?
subirini kwani wao wanajua pumba na mchele
 
Umenena vizuri, Lowasa tayari ni mchafu, sasa achafuliwe tena kwa lipi? RICHMOND!!! Kashfa za membe wengi hatuzijui, ingawaje naye ni sampuli ya kikwete, atakuwa humble kwa wezi tu. Ccm hakuna mtu msafi

Ni wewe peke yako haujui Madhambi ya Membe wengine wote wanayajua, Membe aliiba mapesa ya Marehemu Gadafi kisha akamuua balozi wa Libya kimmafia ili kuficha ushahidi, Membe ni Fisadi mkubwa lile fungu la pesa kwa Ajili ya wageni wa kimataifa hupiga pesa, hata Ununuzi wa Nyumba za balozi huko ulaya hapata 10% kila nyumba iliyonunuliwa na Tz , Membe sasa anatumia pesa nyingi kutengeneza na kusambaza video zenye Sauti ya Nyerere zikiwa na picha ya Lowasa.
 
Hivi...unamchafuaje mtu ambaye tayari ni mchafu kupindukia!? Au mnataka kutuaminisha kuwa waTanzania tuna memory fupi ka za mende hatukumbuki miongo na miongo ya uchafu wa Lowassa!?

Nitajie mtu safii unayemwamini
 
membe ana ha ha sana yani watanzania wakimchagua huyu tujiandae tena na miaka mitano ya mateso kama hii inayoishia
 
Tanzania hakuna Kiongozi aliye msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole, ufisadi Tz ni kama sifa, watu wanapiga kuanzia pesa za kanisa kama Slaa, na Ruzuku za vyama, pesa za bajeti huko kwenye Mawizara, yaani huku Tz ni full ufisadi kila sekta, Viongozi wengi wanaishi maisha kinyume na mishahara yao, siku ikitokea Rais jasiri aamue kuwaleta FBI wawachunguze Viongozi wa Tz mmoja baada ya Mwingine nina imani wote watapelekwa segerea moja kwa moja, Mfumo wetu umejaa mianya mingi ya kufanikisha wizi.
 
membe ana ha ha sana yani watanzania wakimchagua huyu tujiandae tena na miaka mitano ya mateso kama hii inayoishia

Membe ni hatari sana anapenda Visasi na fitna akipewa Nchi Sheria zake zitakuwa kama za China, ataendesha Nchi kama iddy Amini wa Uganda magereza yatafurika wanasiasa, Membe hafai hata kuwa Mjumbe wa nyumba kumi, Jk na familia yake sasa hawamtaki baada ya kugundua kuwa alikwapua mapesa ya Marehemu Gadafi na anapenda kununua watu mpaka Ugeni Rasmi ananunua, pia ni Mpenda majungu na Roho mbaya.
 
Membe hana dhamana yeyote atakaeungananae atajuta.Huyu jamaa kiwango chake cha unafiki kimepitiliza.
 
Membe kanuua Ugeni Rasmi kwenye Tamasha la Pasaka.

Hahahhahahaha , Hii nimeipenda sana boss. Yani hadi uwe mgeni rasmi kwa sasa lazima ununue. Basi akina Msama ndio muda wao wa mavuno haswaaaa.
Picha ingenoga vizuri kama Edo naye angealikwa kama mgeni mashuhuri kwenye hilo tamasha.
 
hata huku tunaandaa tamasha!!! tunaitaji mgeni rasmi..ni simiyu!! nitaweka namba zangu!!
 
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

Pinda na Membe wamepandwa na hasira zaidi mara baada ya kuona wananchi wa kada na rika tofauti wakienda nyumbani kwa Lowassa maeneo ya Area D, Dodoma na kumuomba atangaze nia na kisha achukue fomu ya kugombea urais.

Wale watu mbalimbali ambao wameshiriki kwenda kumuomba wameanza kuandamwa na kambi ya Membe na kambi ya Pinda kwa kuanza kuwarubuni kwa kuwapa rushwa waitishe vyombo vya habari na wapindishe uhalisia wa tukio.

Watu hao wanapewa pesa ili waseme kuwa Lowassa amewapa pesa, chakula, malazi na usafiri wa kwenda pale na wala hayakuwa malengo yao na wamefuata pesa tu.

Wanaorubuniwa kwenda kusema maneno ya ovyo ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, masheikh pamoja na wachungaji ambao asilimia kubwa wamegoma kwenda kuisaliti mioyo yao kwa kusema uongo tofauti na uhalisia ulivyo.

Mathalani upande wa vyuoni, Vijana waliopewa kazi ya kuhakikisha hili swala linatekelezwa Ni Mwenyekiti Wa UVCCM wilaya ya Katavi(Jina linahifadhiwa).

Wanafunzi walioahidiwa kupewa fedha ili wafanye harakati hizo chafu Ni Rutagibwa, ikumbukwe Rutagibwa Ni miongoni mwa baadhi ya wafuasi Wa Membe ambao wamebaki watiifu Kwa Membe baada ya kutengenezewa trip ya kwenda China kati ya marais 25 waliopewa bongo hiyo ya safari
kimkakati ili kuwekeza ushawishi vyuoni kutoka UDOM.

Wengine ni Rais Wa Chuo cha Madini Bwana Magesa F. Magesa. Na Rais Wa chuo cha St. John. Hawa ndio wa Ratiba Wa mkakati pale Udom dhidi ya siasa chafu ya kikachero na kuhonga wanafunzi fedha ili waandamane kupinga ushawishi juu ya Nguvu ya EDO chuoni.

Ili kukamilisha mkakati wao hawa makachero wanaoibuikia wamejipanga Kwa mbinu zifuatazo:-

1. Upo ushahidi Wa baadhi ya viongozi Wa serikali za wanafunzi kupigiwa simu na kuobwa wakanushe taarifa zao kwenye hadhara. Kwamba kuandamana kwao kwenda Kwa EDO walishinikizwa. Japo viongozi hao hakuna aliekubali hadi sasa.

2. Wako baadhi ya wanafunzi wanaoaminika kuwa Ni kwenye ushawishi wamepigiwa simu wakiombwa wataje dau ili wasaliti kambi ya EDO hata hivyo namna aliekubali hadi sasa.

Wako baadhi ya wanafunzi wameitwa kwenye vikao vya kikachero na kujadili na kupanga bajeti itakayo kizi kuwezesha kupata usafiri yaani kukodi magari na posho za wanafunzi ili wakusanywe mahala na wafanye maandamano ili kupinga kile ambacho watanzania wote tulishuhudia wanafunzi waliminika Kwa EDo kushauli atanhaze nia.

Pia wako wanafunzi walithubutu kuonesha misimamo yao kufa pamoja na EDO wametishiwa kufanya vibaya licha ya kuwa haijawekwa wazi Mpango wao je, Ni kuwateka au la?

Kuna ujumbe umenaswa ukienda kwa Mwenyekiti wa wanazuoni ili awasiliane na Mwenyekiti wa UVCCM katavi ampeleke kwa Mh. Pinda.

Mwenyekiti huyo ameambiwa endapo atakubali kufanya mchezo huu mchafu wa kuigiza kuwa wanampinga Lowassa wamehaidiwa kupewa kiasi cha Tsh. Milioni 50 za uratibu na kumaliziwa kiasi cha Tsh. milioni 30 za ahsante.

Wakati watu wakifa mahospitalini kwa kukosa madawa wao akina Membe na Pinda wanateketeza mamilioni ya shilingi kwa ajili ya upuuzi tu.

Hizo fedha kwanini hawazitoi kwa ajili ya mapambano dhidi ya mauaji ya maalbino, ama kusaidia wahanga wa mafuriko kama walivyojitokeza Mbowe na Lowassa kuwasaidia wahanga wa Mwakata Kahama?

Mpaka sasa watu wamegoma kufanya hivyo na wamepandishiwa dau na endapo watagoma tena basi wameambiwa watafanyiwa kitu mbaya.

We mleta huu Uzi ni mpumbavu saana,shame on you.Kwa maana hiyo unajipambanua kwamba wewe ni team Edo?Hizo pesa anazomwaga bosi Wako Mamvi,Fisadi Nyangumi,Jambazi Lowassa hazifai kusaidia kutokomeza mauaji ya albino na kero nyingine kwa wananchi?Ukiondoa nyie waendekeza njaa mnaotaka kuwaamisha wananchi kwamba Edo anakubalika,Ni mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kumchagua Edo?Tumechoka na wapiga dili,tunahitaji mabadiliko.
 
Amepiga dili gani mkuu lete ushahidi mwenzio nape alisema edo fisadi kaiba pesa za uvccm leo tunaona gorofa la ccm lililopolomoshwa pale ng'ambo ya lumumba na nape kapewa ofisi ndani fitna zote kwisha.acha kuendeshwa na magazeti mkuu
 
ImageUploadedByJamiiForums1427457767.477722.jpg edo haaaa
 
Back
Top Bottom