Pinda in his own words..."and I'm officially sad!"

nchi ambayo haina vision .....sijui tunategemea tuweze kuendelea kwa misingi ipi!

nchi za wenzetu kama Japan, mawaziri wakuu wanajiuzulu kila kukicha, lakini hakuathiri uchumi wa nchi kwa sababu tayari wana vision yao, na wanajua wanaongozana vipi......sie kila anayekuja anakuja na ujuzi wake ambao ni ulaji tu....
 
nchi ambayo haina vision .....sijui tunategemea tuweze kuendelea kwa misingi ipi!

nchi za wenzetu kama Japan, mawaziri wakuu wanajiuzulu kila kukicha, lakini hakuathiri uchumi wa nchi kwa sababu tayari wana vision yao, na wanajua wanaongozana vipi......sie kila anayekuja anakuja na ujuzi wake ambao ni ulaji tu....

The Tanzania Constitution is so clear. It is very bold. Very articulate that power belongs to the people .The people mentioned therein are the masses who make up almost 85 percent of the peasantry.


The peasantry are ordinary folk who live in the countryside just eking out a livelihood from the land they cultivate. This means they have no direct attachment to the well dressed and lavishly living bureaucarts who are ever seen in poshy,air conditioned and very expensive cars!I guess its time we do an analysis and efveluation of all our leaders before putting them on power!
 
nilijua haka ka-ugonjwa ka-kujadili watu kama watu na wala sio hoja ni dhambi kubwa ni sawa na kula nyama ya mtu... Hauwezi kuacha... Walianza kujadili mh. Mkapa wakati wa awamu ya tatu, sasa mh. Jk, alafu mh. Lowassa, alafu mh. Pinda... Baada ya hapo mh. Mbowe, mh. Dr. Slaa... Etc.... Wakiisha wanasiasa wataanza kuwajadili akina kasheshe, mwanakijiji, field marshall es... Etc... Mpaka kufa kwao... Maana kaugonjwa hakana tiba lakini kana chanjo angalau!

Heri yangu nina kinga/chanjo yake.

Mungu ibariki tanzania

kasheshe ni kasheshe tupu, utawezaje kujadili hoja bila kumgusa mtoa hoja? Na hasa hoja yenyewe ikiwa inamgusa moja kwa moja, huyu ni kiongozi wa pili kuishangaa tanzania na kusema hajui matatizo yetu yanatokana na nini........
 
JK hivi karibuni kasema Siasa basi tuongoze nchi Kisayansi lets wait and see probably ndio maendeleo mapya though he is not a person to be trusted at all!

Pole sana kama mpaka leo hujagundua kwamba JK huwa anasema kitu halafu anasahau hapo hapo! Kitu pekee ambacho huwa hasahau ni "itinerary" ya safari zake za nje ( Na hii pengine ni kwa kuwa kuna watu wananeemeka na safari hizo kwa hiyo wako makini kumkumbusha).

Honestly, hakuna kitu kinachonitisha nikifikiria hatima ya nchi yetu hasa baada ya JK kupewa kipindi cha lala salama, cha 2010 mpaka 2015....!!! Mambo yatakuwa shaghala bhagala kuliko yalivyo sasa, watendaji wa serikalini wataiba pesa jinsi wanavyotaka na kila mtu atachukua chake mapema....! Hata Sitta anayemshauri aongeze ukali naye hatajali tena!
 
Nilijua haka ka-ugonjwa ka-kujadili watu kama watu na wala sio hoja ni dhambi kubwa ni sawa na kula nyama ya mtu... hauwezi kuacha... Walianza kujadili Mh. Mkapa wakati wa Awamu ya Tatu, sasa Mh. JK, alafu Mh. Lowassa, alafu Mh. Pinda... baada ya hapo Mh. Mbowe, Mh. Dr. Slaa... etc.... wakiisha wanasiasa wataanza kuwajadili akina Kasheshe, Mwanakijiji, Field Marshall ES... etc... mpaka kufa kwao... maana kaugonjwa hakana tiba lakini kana chanjo angalau!

Heri yangu nina kinga/chanjo yake.

Mungu Ibariki Tanzania

Mkuu,

Inajadiliwa hoja hapa na sio mtu. After-all hoja ina originated from mtu so the two are concomintantly related...

.... it's ironic pale Masatu anapopingana na Kasheshe jamvini. utter wry!!

....Gustanza, viongozi wetu wengi ni waongo, Period. Kila watakapoenda nje na kujionea mabadiliko waliyonayo wenzetu watatahamaki, watakaporudi hapa nyumbani ni kwenda kwenye vikao na kamati mbalimbali kuyaongelea maendeleo ya wenzetu... na wataishia hapo hapo kwenye kuongelea maendeleo ya wenzetu. Kikubwa wanachojua ni kuongea, si vitendo.
 
Mawaziri pamoja na waziri mkuu wote hawajui kama wana madaraka makubwa nchi hii, wanalialia tu utafikiri kuna kuna uongozi wa juu zaidi yao tena. Si Pinda tu, ni mawaziri karibu wote ndivyo walivyo - hawawajibiki bali wanaongea kwa ubinafsi ili kujipatia umarufu usio na mbele wala nyuma. Si unajua waTZ tupo usingizini.
Huo ugonjwa wa kutowajibika upo kwa viongozi wa umma wa ngazi karibu zote, hakuna ajuaye wajibu wake.
Elimu yetu pia inachangia sana, wanaomaliza masomo wengi hawaandaliwi kuchangia mawazo mapya bali kufuata mkumbo wa utaratibu uliopo, kuwa myenyekevu na kutopinga mawazo ya mwenyekiti (- CCM of course).

Yes, nakubaliana na wewe Tom, mfumo wetu wa elimu ni mbovu kupindukia! With all due respect, wasomi wetu wengi wanakariri ili wafaulu mitihani na si vinginevyo. Nitakupa mfano hapa: kuna jamaa mmoja alihitimu UDSM [Electrical engineering], akaja huku ng'ambo kujiendeleza kimasomo, boy, jamaa alikuwa mweupe kupindukia... aliingia kwenye Lab one day, akashindwa kabisa kufanya simple conncetion ya electric circuit...na ana Bachelor huyo...!!??
 
Tangu tupate UHURU 1961 tumekuwa na mawaziri wakuu WATATU makini: Mwalimu, Sokoine na SAS.
 
The Tanzania Constitution is so clear. It is very bold. Very articulate that power belongs to the people .The people mentioned therein are the masses who make up almost 85 percent of the peasantry.

Kevo ni kweli lakini ni katiba hiyo hiyo inayosema kuwa Tanzania inafuata Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Ukiangalia kinachofanyika on the ground, utabaini kuwa aidha katiba ina makengeza, au watekelezaji hawajaielewa katiba
 
Kevo ni kweli lakini ni katiba hiyo hiyo inayosema kuwa Tanzania inafuata Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Ukiangalia kinachofanyika on the ground, utabaini kuwa aidha katiba ina makengeza, au watekelezaji hawajaielewa katiba

First of all, katiba iliyopo is so outdated and must be amended.

And here is why...

[1]: Katiba ya sasa inampa Rais madaraka makubwa sana ya kiutendaji. Bunge na Mahakama ni kama wasindikizaji tu, havina uwezo/mamlaka kabisa ya kuidhibiti serikali [in other words, there is no checks and balances ukiamua kufuata katiba iliyopo...] i.e ulisikia wapi rais anahutubia bunge kisha bunge linanyimwa copy ya hotuba iliyotolewa?

[2] Ask yourself, kwanini Mawaziri na Naibu Mawaziri wa Serikali wachanguliwe toka ndani ya Bunge? Coz hakuna uhuminu wa kuwa na Bunge ambalo nusu ya wabunge, ni viongozi wa serikali pia.

[3]: Katiba iliyopo ina reflects mfumo wa chama kimoja na haiendani kabisa na mfumo uliopo sasa, mfumo wa vyama vingi.

[4]: etc..., etc..., etc...
 
wana jf pls, hivi mnaweza mkanipatia namba ya simu ya mh Pinda au kama hiyo itashindikana basi japo e mail yake
 
Back
Top Bottom