Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Safari hii viongozi wastaafu wote ambao wanataka wanafamilia wao wapate uongozi, wamepewa sharti la kuhakioisha wanashiriki kikamilifu kwenye kampeni.Ovyo Sana hii nchi
Maslahi ya viongozi wa CCMKinajali maslahi ya nani hapa nchini?
1;wafanyakazi?
2:wakulima?
3:wafanya biashara?
Labda kinajali viongozi wao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi tunahitaji uongozi makini kuifanyia overhaulSafari hii viongozi wastaafu wote ambao wanataka wanafamilia wao wapate uongozi, wamepewa sharti la kuhakioisha wanashiriki kikamilifu kwenye kampeni.
1) Kikwete - mke na mtoto wanagombea ubunge
2) Pinda - mtoto anagombea ubunge
3) Mwinyi - mtoto anagombea Urais Zanzibar
4) Lowasa - mtoto anagombea ubunge
Kwa hiyo, safari hii, mkisikia kauli za kusifia CCM na kumsifia Magufuli toka kwa Kikwete, Pinda, Mwinyi, Lowasa, ni za kuzipuuza. Wanahanagaika kupigania maslahi ya wanafamilia wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wanafiki wakubwa tu haoPinda mwanae kapitishwa na NEC kwa hira lazima aipiganie CCM
Point, watz ili inatakiwa walioneSafari hii viongozi wastaafu wote ambao wanataka wanafamilia wao wapate uongozi, wamepewa sharti la kuhakioisha wanashiriki kikamilifu kwenye kampeni.
1) Kikwete - mke na mtoto wanagombea ubunge
2) Pinda - mtoto anagombea ubunge
3) Mwinyi - mtoto anagombea Urais Zanzibar
4) Lowasa - mtoto anagombea ubunge
Kwa hiyo, safari hii, mkisikia kauli za kusifia CCM na kumsifia Magufuli toka kwa Kikwete, Pinda, Mwinyi, Lowasa, ni za kuzipuuza. Wanahanagaika kupigania maslahi ya wanafamilia wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana ana sura ngumu
Thubuutuuuuu, nani anaweza kumpiga busu nyuki?Wekeni time huru ya uchaguzi si mmefanya mengi na wananchi wanawapenda, sasa wekeni tume huru ilituhakikishe kuwa mnayojisifia ni sahihi.
Dah nishasahau kuwa hizi Kenge zinasifia Zina maslah kwa kenge Jr zao!Safari hii viongozi wastaafu wote ambao wanataka wanafamilia wao wapate uongozi, wamepewa sharti la kuhakioisha wanashiriki kikamilifu kwenye kampeni.