Pinda athibitisha furaha ya baba ni watoto.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda athibitisha furaha ya baba ni watoto..........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 18, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na watoto Levina Lusinde (kushoto) na Isaya Lusinde kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Watoto hao ni wa Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mwache aongozane nao..................
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  hata mimi naweza andamana na watoto wa jirani kama ni wasafi lakini
   
Loading...