Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
Vilaza wa teknolojia utawafahamu tu. Hivi hujui picha unaweza kui-multiply zaidi na zaidi. mbavu za mbwa mmoj akazidishwa hadi wakawa milion? Aibu. nawe utajiita msomi?? ndo madhara ya kudesa
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
post picture for a proof of what you have say
Nimeanza kuamini kuwa Watanzania wengi wanapenda sikukuu (labda wanapenda kusikia sera kutoka kwenye mikutano).Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
crapppp!pamoja na kujaza wanafunzi mikutano kama ya diwani wa kata.katika ziara za waziri mkuu pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya cdm. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni pinda, je akija jk itakuwaje?