Pinda agutuka kumbe UDOM imejengwa jangwani................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda agutuka kumbe UDOM imejengwa jangwani.................

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rutashubanyuma, Jan 18, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,858
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  SOMETHING seems to disgust Prime Minister Mizengo Pinda (right) at a female students’ room when he visited halls of residence at the University of Dodoma on Sunday. The university faces acute water shortage. (Photo by PMO)
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,858
  Trophy Points: 280
  Mipango yetu mara nyingi huweka siasa mbele na utaalamu baadaye.............hivi utawarundikaje wanafunzi wapatao 40, 000 na unajua fika hakuna maji?
   
 3. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Na inakuwa mbaya zaidi unapokuta wataalam (wasomi) wanacheza mdundiko wa wanasiasa....kwa kufuata kila kitu wanasiasa wanachosema bila kuhoji mantiki.
   
 4. Bwaksi

  Bwaksi Senior Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimevutiwa na huyo denti mwenye blue jeans. Ana mvuto............!!!
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kha!
   
 6. T

  Tricker Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  [​IMG]
  Hawa watoto PM anawatembelea hata hawajishughulishi kubandua vichupi vyao pale ukutani lol!!
   
 7. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hawa wanafunzi wamemtega Pinda, mbona VIFULI vimewekwa juu ya pillow. angalia kitanda cha juu
   
 8. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wanasema eti vipate hewa
   
 9. Sidanganyiki10

  Sidanganyiki10 Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi asichokijua pinda nini?Si ni yeye aliyekuwa akiimba wimbo wa kujisifu kwa ujenzi wa UDOM na ngonjera za mafanikio ya CCM?Wanaona sifa kufanya expansion kama uyoga bila kufanya feasibility study?au ilifanyika lakini wataalamu wakashinikizwa kutofuata maadili kwa sababu za kisiasa?Shame on them.
  Sponge hapa linaonekana kushindwa kufanya kazi!Labda limefikia saturation point!
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Na teddy bear kitandani kuna shule kweli hapo. Hivi matumizi ya teddy bear nini hasa?
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hapo juu ya kitanda ndio kuna mdori na hapo nyuma ya pilo kuna nini kimeanikwa Cheupe na blue bahari ??????
   
 12. Ncha

  Ncha JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi nilikuwepo UDOM siku hostel za kwanza kabisa zinahamiwa za college of humanities ... ni typical na mabibo hostel. ilikuwa siku ya jumamosi ndio wanafunzi wanaingia, ijumaa tulikaa na uongozi wa chuo kuwaeleza kuwa majengo hayajafanyiwa testing yeyote hata ya umeme kwani umeme ulikuwa umeunganishwa siku hiyo hiyo ya ijumaa (kumbuka hitilafu yaweza tokea). na maji yaliunganishwa siku wanafunzi wanaingia, ilikuwa aibu. mabomba ya maaji yanavuja, vyoo vinavuja, kulinuka kote kama chooni. kisa nini haraka. we fundi yuko chooni anamalizia bomba anaona mtu wa gorofani kaflush na vitu vyaja.

  siasa inapeleka mambo ovyo kuliko hali halisi, hiyo shida ya maji ilionekane kama miaka 3 iliyopita tatizo wanasubiri kila mwaka wanafunzi wakiongezeka nao waongeze bomba 1. mi nadhani huduma za maji na umeme from day 1 ilitakiwa ziwe na uwezo wa kukidhi idadi ya mwisho na ziada.

  ni project ya maana sana na nzuri ila utekelezaji wake unasiasa sana hata kwenye maamuzi ya kitaalam
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  BOXER:banplease:
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Michelle Teh teh teh teh amakweli ni boxers hizo duuuuh.

   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wanamuonyesha maji ya choo yanavorudi chumbani..patamu hapo
   
 16. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Duuuuh ni baraaaaa sasa hiyo si ndio chuo kikubwa E&C africa au ????? au zilikuwa ni nguvu za si ha sa nini maana kwa hawa viongozi wetu hupenda sana political publicity

   
 17. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  nani kakuambia hizo ni chupi?
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,858
  Trophy Points: 280
  Katika pitapita zangu leo nimegundua ya kuwa......................all is not lost for UDOM........kuna habari njema ya ujio wa maji kibao.........................

  <table id="Table_01" width="879" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="956"><tbody><tr><td id="Top_Mid_Column" bgcolor="#ffffff"><table id="tp_F4" width="599" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td valign="top"> Tatizo la maji Dodoma kubaki historia


  na Danson Kaijage, Dodoma


  </td> </tr> </tbody></table> </td> <td id="Right_Column" rowspan="2" style="background-repeat: repeat-x;" valign="top" width="140" align="center" background="images/grad2.gif" bgcolor="#ffffff">[​IMG] </td> </tr> <tr> <td id="Mid_Column"> <table id="F4" width="599" bgcolor="#ffffff" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="696"> <tbody><tr valign="top"> <td style="padding-left: 45px; padding-right: 45px;" valign="top"> MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma (DUWASA) imesema pamoja na kuwepo ongezeko la watu mkoani hapa imedhamiria kuhakikisha inawapa wakazi wake huduma ya maji ya uhakika. Hayo yalibainishwa na Ofisa Habari wa Mamlaka hiyo Sebastian Warioba alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima mkoani hapa jana.
  Warioba alisema pamoja na kuwepo kwa ongezeko la watu katika mji wa Dodoma, Duwasa inafanya kila jitihada ili kuhakikisha tatizo la upatikana wa maji katika jamii libaki historia.
  Mbali na hilo Warioba alisema kwa sasa mamlaka hiyo inapambana na upotevu wa maji njiani kwa kuweka watu makini kwa ajili ya kuangalia mabomba yanayopasuka na kupoteza maji.
  Hata hivyo alisema pamoja na kuwepo kwa changamoto mbalimbali zikiwemo za kuongezeka kwa watu lakini wameweza kufikisha huduma ya maji katika sehemu zilizokuwa hazifikiki kirahisi.
  Maeneo hayo ambayo yameweza kusambaziwa maji ambayo hapo awali yalikuwa hayapati ni Nzuguni, Swaswa, Ilazo, Nkuhungu pamoja na maeneo ya Changombe ikiwa ni pamoja na upelekaji maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).
  Alisema kutokana na huduma ya maji kupatikana kwa wakati kwa sasa Dodoma inajengeka kwa kasi kwani watu waliokuwa wakikwepa kuwekeza kutokana na tatizo la maji wamekuwa mstari wa mbele kujenga.
  Aidha alisema taasisi zilizopo katika manispaa zimekuwa zikiendesha shughuli zao bila malalamiko yoyote yanayohusiana na matatizo ya maji kutokana na kuwepo kwa huduma hiyo.

  </td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
   
 19. KiJo

  KiJo Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "pua"
   
 20. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Mbona PM mkono mmoja kama vile unazuia kitu? na mkono mwingine kama vile unazuia mate! au mie sifikirii vizuri?
   
Loading...