Nimeipenda hii kwani huwa wanaapa na vitabu vitakatibu kisha wanakuja kufanya kinyume chake
nilikuwa sijapiata hii
kwa hiyo kaapa bila kitabu kitakatifu!!!!?
dhamira inalia kwa mbali kwa hawako pale kwa ridhaa ya watz bali kwa wizi
Anajua alichowafanyia wananchi wa jimbo la Sumbawanga Mjini, kisa kutishiwa na JK kuwa asipochakachua ataukosa u-PM
Nimeipenda hii kwani huwa wanaapa na vitabu vitakatibu kisha wanakuja kufanya kinyume chake
Shangaa sasa....angalia picha hizo...mbona kashika biblia!!kwa kweli kwa kitendo alichofanya sumbawanga, angeshika Biblia tungemshangaa. Bora amejiweka wazi kuwa ni mwovu anayeitumikia serikali ovu inayoongozwa na mwovu.
tafadhali muwe na uhakika na mnachoongea. hivi mna uhakika alichoshika ni biblia?
Hata ingekuwa hajaapa kwa biblia kwani kutoamini Mungu ajabu?
Nimeipenda hii kwani huwa wanaapa na vitabu vitakatibu kisha wanakuja kufanya kinyume chake
Kwa sababu yeye ni mkristo na hata wakati wa kiapo cha ubunge alifanya hivyo
do we need a rocket science kujua alichoshika ni biblia au quran wakati tunajua ni mkristo
kweli JF ni zaidi ya thinkers