Wakuu salama?Naomba tu kujuzwa iwapo hapa kwetu Tanzania kuna makampuni ya kupimping magari. Kuna kagari kangu nimejaribu kukiuza hakiendi, mtu akishajua ni automatic harudi tena. Sasa nafikiria kulirekebisha kama wafanyavyo akina Jay Z sijui Buster Rymes kwenye PIMPING MY RIDE. Wapo watu kama hao Tanzania hii na mawasiliano yao pia.
unataka kuuza gari ama ku pimp gari? kwa uzoefu wangu mdogo hakuna gari lisilouzika kwani niliwahi kupita sehemu moja nikakuta pameandikwa "nanunua magari yaliyo washindeni ninyi" muhimu tu wakati una li thaminisha (valuate) uwe ume piga thamani za uchakavu sahihi (depreciation) kama unataka kuliuza hebu tupia picha humu nilione kama sitanunua basi nitaku dalalia na kama unataka ku pimp nenda Lumumba mtaa ule palipo zaliwa tanu kuna washkaji watakubadilishia rim dash board na ma accessory ya kila aina sasa hapo jipange...swali jingine?
Sio kwamba ameagiza atengenezewe huko nje? Inafanana na Benz hivi.
Wakuu salama?
Naomba tu kujuzwa iwapo hapa kwetu Tanzania kuna makampuni ya kupimping magari. Kuna kagari kangu nimejaribu kukiuza hakiendi, mtu akishajua ni automatic harudi tena.
Sasa nafikiria kulirekebisha kama wafanyavyo akina Jay Z sijui Buster Rymes kwenye PIMPING MY RIDE. Wapo watu kama hao Tanzania hii na mawasiliano yao pia.
Naomba kujuzwa,hivi gari za automatic hazina soko? Mbona ndio zimejaa kwa mitaani. Na hata ukienda kwenye mitandao ya wauza magari huko Japan ziko juu kwa bei kuliko Manual kwakuwa wanaozihitaji ni wengi.