Wakuu, Kuwekeza mamilioni kwenye kilimo pasipo kufuatilia afya ya udongo wako ni kama ku-bet. Vifaa vya kujipimia udongo siku hizi ni vingi kwa bei rafiki na maelezo yake yamejaa You Tube. Huhitajiki kufunga masafari marefu kama enzi zileeee. Take care

Siku hizi halmashauri nyingi zimepewa vifaa vya kupima afya ya udongo.Gharama zao zinaweza kiwa bure au kidogo sana.Jaribu kuwasiliana na afisa kilimo / ugani wa eneo husika
Siku hizi halmashauri nyingi zimepewa vifaa vya kupima afya ya udongo.Gharama zao zinaweza kiwa bure au kidogo sana.Jaribu kuwasiliana na afisa kilimo / ugani wa eneo husika
Mkuu wangu hizi ni soil test kits. Binafsi naziweka makundi mawili. Zipo zinazotumia rangi ktk kukuletea majibu ya hali ya udongo (picha zote) na zipp zinazotumia mionzi (scanners) kukupimia udongo. Hizi za rangi unaweza kuzinunua kwa hata USD 50 (cheki Amazon). Ili kujua maana ya rangi za majibu huwa kuna leaflets elekezi. Hizi za mionzi kwa mfano scaner ya Soilcares huwa zinasubiri majibu toka maabara za Nje. Bei ya hizi za mionzi unaongelea mamilioni. Binafsi naona hizi za rangi kama ni zenye kuukaribia sana ikweli wa afya ya udongo. Hadi hivi karibuni scanners zilionekana jirani na kuaminika kwenye majibu ya soil pH na Organic Carbon sio minerals