stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Umeona nini
Upo vizuri mkuuMtu amevaa kofia
Shukranii mkuuUpo vizuri mkuu
Mpaka sasa sijamwona huyo mtu...Mtu amevaa kofia
Haha..tizama kwa makini babu..anaonekana ila kumuona vizuri geuza simu juu chiniMpaka sasa sijamwona huyo mtu...
Mi mpaka sasa niko Bashite bashite...Upo vizuri mkuu
Macho ya uzee babuMpaka sasa sijamwona huyo mtu...
Teh..mtafutie mawani yakee[emoji23][emoji23]Macho ya uzee babu
Jolie nataka nione jibu lakoMacho ya uzee babu
Yani imebidi kuita wadau ndo wamenionesha hiyo picha ya mtu...Haha..tizama kwa makini babu..anaonekana ila kumuona vizuri geuza simu juu chini
Hahahaha...umekunywa ngapi kwani?? Ukilaza nakataa...nakusoma sana hapa.Yani imebidi kuita wadau ndo wamenionesha hiyo picha ya mtu...
Kwa hapo nimekubali mi ni kilaza au kama si kilaza basi Konyagi sio pombe nzuri...
Hiyo kofia ya huyo mtu niliona kama ni konokonoJolie nataka nione jibu lako
Yaaani ngoja nimchoreeTeh..mtafutie mawani yakee[emoji23][emoji23]
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiHiyo kofia ya huyo mtu niliona kama ni konokono
Ewaaaa..hapo lazima akione kwa uzuriiYaaani ngoja nimchoreeView attachment 772835
Nimefanikiwa kumwona baada ya kumhonga mhudumu mmoja BalimiMacho ya uzee babu
Kweli angalia vizuri kama konokono[emoji23] [emoji23]Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiii
[emoji23] [emoji23]Nimefanikiwa kumwona baada ya kumhonga mhudumu mmoja Balimi