Pima macho hapa!

Pima macho hapa!

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
buibui.jpg

umeona nini hapo juu picha ya kwanza?

chura.jpg
Hapo juu umeona kitu gani na idadi itaje?

kinyonga majani.PNG

nini umegundua kwenye picha hapo juu
 
ya pili vyura watatu na majani, ya tatu kinyonga kwenye tawi la mti ya kwanza nimetoka kapa!
 
Ya kwanza scopion ya pili chura ya tatu kinyonga
 
Mh labda macho yang yanaona tofati, picha ya kwanza mi naona sijui mawe, vyra sikuona hadi niliposoma posts zingine, nilichoona ni kinyonga tu....... au labda nimechoka sana
 
Watu wanamacho balaa,

Spider + kaa(upper left corner)

Vyura 3

Kinyonga
 
Picha ya kwanza nimeona spider
Picha ya pili nimeona vyura watatu
Picha ya tatu jani linamuonekano wa kinyonga

Umepatia ndugu!huyo ni jamii ya kinyonga usije ukadhani ni jani!
 
Watu wanamacho balaa,

Spider + kaa(upper left corner)

Vyura 3



Kinyonga

umepatia ndugu ila huyo kaa sijamuona inabidi nifungue macho kwelikweli!
 
Mh labda macho yang yanaona tofati, picha ya kwanza mi naona sijui mawe, vyra sikuona hadi niliposoma posts zingine, nilichoona ni kinyonga tu....... au labda nimechoka sana

hahaha inabidi ukodoe macho haswa!picha ya kwanza nimeikuza unaweza muona buibui sasa!
 
Back
Top Bottom