Pima maamuzi ya JK hapa.........

GreatThinkers,

Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.

Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!

Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!

Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?

Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?

Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?

kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?

Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap kaiweke mada hii chumbani kwako na mkeo wakati mko kitandani ndio muijadili sio humu JF home of GT

Kwani hao waliovunjiwa ili kuwapisha waliotoka mabondeni ni wangapi? Na je wao hawakujua kuwa hawakupaswa kujenga katika eneo hilo?

Kwani wewe inakuingiaje kichwani?
Unabomoa nyumba za wavamizi wa eneo halafu unaweka mahema ya wavamizi wa mabondeni
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap kaiweke mada hii chumbani kwako na mkeo wakati mko kitandani ndio muijadili sio humu JF home of GT

Huamini mpaka kuona watu wameandamana.
Sasa baada ya TV kuonesha watu jana wameenda Ikulu kulalamika, unasemaje? Hii thread bado ni Crap?:A S-coffee:
 
Jiulize swali wewe, mwanao/baba yako/ndugu yeyote akiwa mwizi/tabia zisizo za kistaarabu akipatwa na matatizo utamsaidia au utamuacha?. Hebu jamani tuwe tunatafakari kabla hatujanena, au ulitaka rais awapotezee ili upate cha kusema zaidi ya hilo unalojaribu kutuambia kama vile unatuchota akili.

Kwa hiyo utamsaidia huyo mtoto wako mwizi kwa kumnyang'anya mtoto wako mwingine (ambae nae ni mwizi) kitu alichokiiba? Hii ni logic kwa magamba peke yao.
 
GreatThinkers,

Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.

Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!

Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!

Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?

Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?

Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?

kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?

Nasema hatuna uongozi wala kiongozi
 
Mimi langu si maamuzi ya mabwepande kwani maamuzi yatokanayo na washauri wake wanaomuogopa sana yametupeleka hapa tulipo ambapo fumuko wa bei ni zaidi 30% lakini wataja kidogo haya hiyo ni maada nyingine,lakini swala la ombwe naomba niseme hivi: AT AN IDEAL STATE VACUUM EXISTS BUT UNDER NORMAL CIRCUMSTANCES U CAN'T GET A VACUUM BECAUSE 'NATURE ABHORES/HATES VACUUM THAT IS TO SAY WHWEREVER VACUUM OCCURS IT IS REPLACED IMMEDIATELY.KWA SABABU HII NASEMA HAKUNA OMBWE LA UONGOZI TANZANIA KWA SABABU LILIPOTOKEA TU HILO OMBWE KWA OUNGOZI WA CCM,'REMEMBER NATUIRE ABHORES VACUUM'IT WAS AUTOMATICALLY REOPLACED BY CHEDAMA LEADERSHIP,SIMPLE!!!!!!CHAMA TAWALA NI CCM LAKINI MIONGOZO YOTE MIZURI NI YA CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hii unaweza kuita ama ni "wishful thinking" au "day dreaming".
 
Back
Top Bottom