hiyo picha ya Mzee iko upande gani?.............
umepatiaFarasi wapo wa5.....kwa kuhesabu miguu!! Lo ndege m1
http://ia600301.us.archive.org/23/items/V.I.P_722/10Vip.mp3okay.....japo pia tunaambiwa tumekosa.....nilikuwa namaanisha hivi.......wakubwa 4 mdogo 1.......jumla 5.......
angalia hii Dot kwa sec 10, kisha niambie unaona nini?......
hapa unaona rangi ngapi?.....
Unamuona Shark?..........,
farasi wapo 4 wakubwa na mmoja mdogo.........
ndege yupo nyuma ya hayo matawi mawili yaliyosegeleana........
nimeona sijaona......?
Je, Unaona Picha za Nini?
Je, Unaona Picha za Nini?
Picha ya 3:
Ni skeleton ya binadam kichwa kimeelekea upande wa kulia, mbavu hizoo zimebaki moja moja na mwisho miguu hiyoo inaelekea kushoto kama inataka kuachana fulani hivi. Kichwa kama kina rasta kwa mbali. Naomba zawadi dada!
mmh! mwali zipo nilizoona vitu nyingine macho yameuma tu sijui kwanini
Farasi wakubwa 3 na mdogo 1 hamna ndege kuna matawi kama c rangi ya matawi basi yamekauka
Picha ya kwanza kuna kishimo picha ya pili kuna alama ya rangi nyekundu
wapo faras saba