farasi wapo 4 wakubwa na mmoja mdogo.........
ndege yupo nyuma ya hayo matawi mawili yaliyosegeleana........
nimeona sijaona......?
Je, Unaona Picha za Nini?
farasi wapo 4 wakubwa na mmoja mdogo.........
ndege yupo nyuma ya hayo matawi mawili yaliyosegeleana........
nimeona sijaona......?
angalia hii Dot kwa sec 10, kisha niambie unaona nini?......
hapa unaona rangi ngapi?.....
Unamuona Shark?..........,
Picha 1: Mdada mrembo kabisa with big tits in her breats!! So sex kajishika shoulder
Picha 2: Namuona ndege chengo...wamjua chengo wewe? Au flamingo flani akiwa na mdomo mrefu kukamata lukumbu
Picha 3: Zinja kalala...kama yule farao enzi za misri akivuka bahari ya Shamu na kukumbwa na kizaazaa!!
Hii ni picha ya mwnamke
Preta angalia vyema wako watano
Ringi za kwanza zinatembea ukichezesha kichwa chako!!zinasuguana;
Ringi ya 2 ni kama mpira unajaa ukichezesha ya head;
Ya 3 ni wizi mtupu...rangi 2 tu red na green
Unaona nyuso ngapi za panda?........
unaona Nyau wangapi?
unaona Nyuso ngapi?
taja wanyama wanne unaowaona ndani ya hii picha
Unaona nini kwenye hii picha?
Ungeweka picha mojamoja bhana.....zinanchanganya sana!!
1. Nyuso 5 zahao Duma
2. Nyau 7
3. Nyuso 7
4. Samaki, Bata, Tembo na Sungura
5. Picha ya mwisho naona milima yenye snow na mapango tu..No more
Nilikua naongelea picha ya kwanza
Unajua Madame B wikendi hii ukiwa na quiz kama hizi basi inaisha vizuriiiiii kabisa manake mi nimezubaa hapa naziwatch na kutafakari baada ya kupigwa na vumbi na jua wiki nzima, hapa narelax tu. Keep it M
Madame B