Sasa we Shy land na hiyo Std Seven yako, utaweza?
Osaka wapi mkuu ? za long time ? Salaama !Sasa we Shy land na hiyo Std Seven yako, utaweza?
gHebu kajaribu haka kaswali.
Quote au Tag nije nikwambie kama umekosa au umepata.
Hii michezo ya kihesabati na logic haipimi uwezo halisi wa mtu.Mfano bibi ambaye yupo kijijini asiye na uwezo wa maths anaweza akawa ana akili lakini asiyajue hayo maswali kwsababu hakuenda shule
Na pia theory of multiple intelligence ime revolutionize how we think kuhus haya mambo ya intelligence
Hilo swali ni irrelevant
Vip swali limekuwa gumu mkuu…?
hakun aliesema kuwa atakayokos hili swali ni kuwa hana akili
Title ya thread yako inasema "Pima iq yako kidogo".
Kwa maana nyingine ni kwamba uwezo wako wa kuli tackle hilo swali ni directly proportional to your IQ.Jibu la hilo swali ni kigezo cha uwingi wa IQ yako
Sasa mi nikatoa mfano wa bibi na theory of multiple intellligence ku render jibu la hilo swali useless/irrelevant
Hebu kwanza nipe jibu ni ngapi then we will talk……!