Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 544
- 664
Kila lakheri Mkuu Pindua MezaWakuu naendelea na ile challenge yangu ya kuikimbiza milion2 kwa mwezi.
Leo ilikua ni kuchagua idea na kuanza kuichakata.
Nikaanza na mali hii hapa:
Picha : hapa kwangu kuna maeneo ya space haya.
Nimeona hapa nianze na ufugaji kuku wa broiler,
MAANDALIZI:
Vifaranga 500
Mwezi ukiisha naviuza:
Nb: Sanduku la ushauri lipo wazi
Ha ha ha asanteKila lakheri Mkuu Pindua Meza
Kaka hiyo n target tu haina maana kua nategemea nitafuga nipate hiyo milion 2 paaap no!!Kwenye kilimo na ufugaji usiweke expectations nyingi za kupata ukaanza kujihesabia mamilioni, hapo kati kuna changamoto nyingi na risks kibao, ingia fuga au lima hata ukikosa utakuwa umejifunza kitu ila kupiga hesabu za faida before zitakukatisha tamaa ukikitana na changamoto
EehGood.
Wakuu naendelea na ile challenge yangu ya kuikimbiza milion2 kwa mwezi.
Leo ilikua ni kuchagua idea na kuanza kuichakata.
Nikaanza na mali hii hapa:
Picha : hapa kwangu kuna maeneo ya space haya.
Nimeona hapa nianze na ufugaji kuku wa broiler,
MAANDALIZI:
Vifaranga 500
Mwezi ukiisha naviuza:
Nb: Sanduku la ushauri lipo wazi
Mkuu hii hesabu sikua nimeiona!Ukiwa tayar na mzingira (jengo na miundo mbinu (vifaa vya Kuwalishia, maranda ,maji ).
Kuku mmoja atakupa faid ya 1,500 .
Hapo umeuza 7,000 kwa jumla kwa kila kuku.
Kwa idadi hiyo utanunua kifaranga kimoja kwa 1,500. Tsh.
Kumlisha kwa wiki 3 na nusu had 4 wekea kwa kila kifaranga 3,700/=
chanjo 300 tsh. (Cost ya kumtunza 4,000)
Gharama ya kuku had unamuuza itakuwa 5,500/=
(5,500× 500 = 2,750,000)
Hela hii uwe nayo ukiwa tayar una mazingira ya kuwatunza.
Kama ww unapenda kufuga na mazingira unahisi yanaruhusu,basi funga ngombe wa maziwa.
Nunua ndama wawili wa kike wenye miez 3-5 kwa laki 7 kila mmoja.
Baada ya mwaka na nusu.
Akishazaa anatoa maziwa hadi lita 20 kwa siku.
Unakula faida kwa miaka hadi 5 mbele.
Daah
Tanzania hii kwa sasa hakuna kifaranga cha 1500Ukiwa tayar na mzingira (jengo na miundo mbinu (vifaa vya Kuwalishia, maranda ,maji ).
Kuku mmoja atakupa faid ya 1,500 .
Hapo umeuza 7,000 kwa jumla kwa kila kuku.
Kwa idadi hiyo utanunua kifaranga kimoja kwa 1,500. Tsh.
Kumlisha kwa wiki 3 na nusu had 4 wekea kwa kila kifaranga 3,700/=
chanjo 300 tsh. (Cost ya kumtunza 4,000)
Gharama ya kuku had unamuuza itakuwa 5,500/=
(5,500× 500 = 2,750,000)
Hela hii uwe nayo ukiwa tayar una mazingira ya kuwatunza.
Kama ww unapenda kufuga na mazingira unahisi yanaruhusu,basi funga ngombe wa maziwa.
Nunua ndama wawili wa kike wenye miez 3-5 kwa laki 7 kila mmoja.
Baada ya mwaka na nusu.
Akishazaa anatoa maziwa hadi lita 20 kwa siku.
Unakula faida kwa miaka hadi 5 mbele.
Ni sh ngapTanzania hii kwa sasa hakuna kifaranga cha 1500