Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,323
- 108,386
Sauti inatosha kabisaa my![]()
Sauti sasa mwafaidi wengi, wakati sukari wafaidi mlambaji 👸
Sauti inatosha kabisaa my![]()
Toka nimeanza kula hii pili pili appetite imeongezeka kweli. Kumbe chanzo ni mwendo kasi !
God save us
MmmhhhAahaahhahahahaaaa
Hapa kuna habari nyepesi tuu, pilipili ya mwendo kasi ni balaa... Inawasha huku inampa utamu na ladha murua mlaji...
Hahah...
Miye najua habari za sukari tu 👸, habari za pilipili nawaachia wanaotaka washwa kama Kasie
My, sie tuwaze tuu mirinda nyeusi na keki
Kasinde
Nitanyonya macho kuyatia sukari...
Hii akili nimeikopa kwako ujue



Dah...nasikia hii pilipilĂ imeletwa Africa na wachina ili kupunguza waafrica kuzaliana.... nimesikia tu
Sent using Beretta ARX 160
Huo mwandiko unahamasiishaaaAahahahahaa ajeee Sakayoo...
Kasinde
Nitanyonya macho kuyatia sukari...
Hii akili nimeikopa kwako ujue