Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Hebu sema ukipaka inakuwaje? Maajabu haya ishi ...
 
Hii kiboko, watakaojaribu wataleta majibu ya hiyo tiba.
 
Hahhahahahahahaha
jf raha tupu hii technology lazima himlize mtu leo!
Sidhani kama tatizo ni kuwa na uume mdogo!
Aiseeeeee!
 
Utawafanya watu waugulie bura pilipili weye, umelenga kama babu wa loliondo.lol!
 
Najua wapo watakao ni
dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini
ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi
wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10
hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni
miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu
nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati
nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu.
Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu,
akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao
baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili
chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya
kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha
uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu
maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani
ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe
wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa
tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa
fikra hii kwa atakae taka

Bangi mbaya!
 
mim ya kwangu ni kubwa sana mpaka wakati mwingine napata shida pale nnapotakiwa kupiga hatua kubwa na za haraka basi inakua tabu kweli kupimia hatua za saiz vp??? Siwez kupata ya kupunguza!!!!!!

chukua sukari, chumvi changanya mchanganyiko huo kisha kamulia limao alafu hakikisha unapaka asubuhi ya alfrajili unapodamka.
Kwisha habari yako.
 
Hata kama ningekuwa na dushe inayolingana na kaukucha tu ila hiyo dawa siwezi kutumia duuu!
 
mim ya kwangu ni kubwa sana mpaka wakati mwingine napata shida pale nnapotakiwa kupiga hatua kubwa na za haraka basi inakua tabu kweli kupimia hatua za saiz vp??? Siwez kupata ya kupunguza!!!!!!

labda hapo kwenye chumvi ubadili na kuweka sukari, yaani pilipili, sukari na limao/ndimu. Teh teh!
 
Mkuu ile ndogo kwani ilikuwa mbovu?
Naona umeleta tiba ila kubwa/ndogo ikiwa kama inafanya kazi vema sioni kwanini mpaka iwe kubwa.

Inatakiwa useme labda ilikuwa na shida ndiyo ukatumia hiyo tiba ila neno la Ukubwa naona tunapotoshana jamani.

Mimi sidharau dawa yako lakini umesema kwasasa inajaa kwenye pichu ilipokuwa haijai nadhani haikuwa tatizo Mkuu.
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka
bila shaka itakuwa inavimbisha si kukuza, ipo ile dawa ya dodoki, inakuza size unayotaka wewe,
isitoshe dushelele kubwa nalo ni mzigo, likituna ukiwa kwenye dala dala alafu ndo wataka kushuka....!!!! usiombe huwa tunapata taabu
 
wewe mimi nilishapaka kwa bahati mbaya nilipokuwa dogo kuna pilipili kichaa nilikuwa nakamulia kwenye chachandu bahati nilishikwa na mkojo kwenda kukojowa ndipo nilipojuwa kwanini iliitwa kichaa na mpaka leo imesinyaa kama nchi moja na nusu haiongezeki sina hata hamu na hao mademu
 
hahaha we ndo utaniweza au????????????????
Hahahaaaa wewe bana. Si unajua tena, hakuna lisilowezekana kwa ODM. Hebu angalia vizuri hii picha afu niambie umeona nini.

attachment.php
 
Hahahahahah

wewe mimi nilishapaka kwa bahati mbaya nilipokuwa dogo kuna pilipili kichaa nilikuwa nakamulia kwenye chachandu bahati nilishikwa na mkojo kwenda kukojowa ndipo nilipojuwa kwanini iliitwa kichaa na mpaka leo imesinyaa kama nchi moja na nusu haiongezeki sina hata hamu na hao mademu
 
Back
Top Bottom