MADOTTO
Senior Member
- Dec 15, 2012
- 125
- 181
Karibu sana, anytime ndugu.kwako
Karibu sana, anytime ndugu.kwako
Karibu sana, anytime ndugu.
Miezi 3Kwa mfano nikipanda leo hizo pilipili itachukua mda gani nianze kuvuna
Nataka kutapeli mkuuWewe jamaa unalima pilipili au unataka kuwalima watu?
Hembu acha utapeli wa kindezi namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
5m? Jamani tuache wadanganya watu.Mie nalima Mwendokasi(Yellow Habanero) nipo Mbezi Msumi-Na kwa yeyote anaetaka kujifunza namkalibisha bure bila malipo yoyote.Na soko Kubwa kwa Dar ni Kigogo Sambuza ikifatiwa na Ilala na Stereo.Tuache watisha watu kwa taarifa zizizo sahihi.
Ukiona hawa wanaojiita "wataalamu" wanakupa mchanganuo wa "kitaalamu" kwa gharama za juu halafu wao ndio wanauza mbegu na mbolea na mwisho wao ndio wanunuzi au watakutafutia masoko ya uhakika ujue 99% ni matapeli
Watakuuzia mbegu na madawa na utaalamu kwa bei ghali kweli kweli kisha muda wa mavuno au mambo yakienda mrama hutawaona tena
Wapo kuuza mbegu na madawa kwa bei ya juu tu